Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Wewe uliona wapi mtu aliyewaongezea kwenye written kuwa kafeli usaili wa oral?
 
Wewe uliona wapi mtu aliyewaongezea kwenye written kuwa kafeli usaili wa oral?
Mimi nimefanya two weeks ago ipo hivi
Paper la Kwanza tumeingia 36 tuliitwa 41.. Pepa lilikuwa gumu ila wakatubeba wote Sasa yule mtu wa Kwanza 86...ikaja la pili alternative practical..yule wa Kwanza akawa wa mwisho miongoni mwa sita waliofeli...na Kuna yupo alikuwa wa pili yeye kosa lake Ni kuchora mchoro kwa kalamu naye alifeli..mambo hayo yanatokea.mi nishafanya interview zao tatu nimeona maajabu mtu ambaye unamfundisha anapasua kwenye mitihani Yao ila Post za zamani nilikuwa nafanya Ni za nje ya fani yangu Ila application ilikuwa inakubali.moja ilikuwa wanataka mtu wa lab udsm.sasa tumeitwa 27.me nikapata 64 ila nikaachwa kwenda oral Yuko jamaangu namjua uwezo wake na alikuwa hajui hayo mambo ya maabara akapiga 67 akapelekwa oral mwisho wa siku wakaanza kuchomolewa kwenye kanzi data mpk Sasa sita washachukuliwa wengine Bado pending ila nasikia pale kanzi data jina Lina valid eti miezi sita
 
Ulishiriki usaili wa mahojiano kwenye majengo ya Asha rose Migiro katika kada ya maabara? Wiki mbili zilizopita?
 
Aisee mzee wa HYDROLOJIA, hivi majina huwa wanatoa baada ya muda gani baada ya oral interview ?

Nilifanya pia oral interview wiki mbili zilizopita hapo.
 
Aisee mzee wa HYDROLOJIA, hivi majina huwa wanatoa baada ya muda gani baada ya oral interview ?

Nilifanya pia oral interview wiki mbili zilizopita hapo.
Labda baada ya week tatu kuanzia jumanne ijayo tusubirini tuone
 
Kwa mtindo huu serikali itapoteza watu wengi wenye uwezo mzuri
 
Dogo alisema paper ilimsubiri Lily toka sabasaba tena akaambiwa apande bodaboda kabisa.Paper anasema ilianza saa 4:05 yeye alikuwa CHSS lecture theatre 1. Nilifikuri muongo loooh utumishi balaa. Sijui mtajengaje imani kwa madogo jamani.
Lily Ni Nani mkuu?
 
Huyo achana naye ameamua tuu kujitoa ufahamu.
 
ajira kwa sasa ni sawa na madai ya Katiba mpya, ili upate lazma uwe na koneksheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…