wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Uko sawa kabisa,Mumeo nilishindwa kusoma ili nikusomeshe wewe mama watoto ili niwe na mke msomi.Uwe unasoma sio unafeli unaleta porojo zako hapa si ajabu haujajibu hata swali moja na kwa discipline hii hufai kuajiriwa popote....Pathetic
Poleni wadogo zangu na wale mliopoteza gharama kubwa. View attachment 1887188
Extrovert mwanangu njoo ujione wajomba wakiwa na marking scheme kabisaaaa.
Hahah na hao ndio wamepewa mpk marking scheme iliyowekwa pale juu mkuu.Mmoja ya watoto wa vigogo itakua [emoji38][emoji23][emoji1787]
Marking scheme hujaiona pia?tugeuzie paper tuone tarehe.
Ila kama ni kweli mambo ndo yamefikia huku baasi nchi inakwenda pabaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
skuangalia comments za chini.Marking scheme hujaiona pia?
ππ Wanyonge wanalia Lia.Wahuni sio watu kudadeqπ
Wamechoma nauliππ Wanyonge wanalia Lia.
Nilishalisema hili humu ila nikaonekana kama mpiga zumari π ! Ukiona kazi umepata jua hakukuwa na mtu wa kuwekwa inakuwa kama zali wala usijione mjanjaπHizo ajira kuna watu wanakuwa wameshawekewa reservations, nyie wengine mnaenda kukamilisha protocol tu
πππ Koneksheni koneksheni mkuu.skuangalia comments za chini.
Nimeiona mkuu.
Daah, hii sasa ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah kazi za TRA zina ulaji mwingi so kuzipata sio kizembe lazma connections ziwe live π π πUkiamka unawaza TRA, ukila unawaza TRA, Ukinya unawaza TRA, ukilala unawaza TRA nafasi zenyewe 34 application more than 14000 no way out Tz hautoboi hata uwe genius vp umemorize act zote na vitabu vyote vya tax kama huna mtu sahau, hata mm binafsi Nina hasira nime umiza kichwa changu Kuna watu wanakula kiulaini [emoji34][emoji35][emoji2959] na kusubiriwa wanasubiriwa mpaka wafike ndo pepa lianze
Lakini Bora kucheka tu, ukimaind sana uta burst bure [emoji38][emoji23][emoji1787]
Hahahahahaha π niliposoma kijukuu cha Ngoyai E Lowassa nikatambua uongoziππππHizi ni zama za connection mzee wng demu mwenye tako kubwa na drs la 7 lake analinga kuliko mwenye mtu mwenye Masters yake mjini
Zile story za GPA kubwa TRA sijui Nini Ni uongo mtupu.ππHahahahahah kazi za TRA zina ulaji mwingi so kuzipata sio kizembe lazma connections ziwe live π π π
Uzuri mbinu zimeonekana dhahiri! Kuna mwaka graduate mmoja muuza mkaa tu hapo mabibo zilitokea nafasi kama hizi watu wakapambana wee hapo tuko na bro tulipiga nae jiwe la kwanza hapo versity jamaa alikuwa smart sana kwenye kinyangβanyiro hiko maeneo ya DUCE tukafanikiwa kuwa top of the list candidates with average ya above B+ ila huyo bro ali lead kwa kutinga 80 plus out of all candidates!Zile story za GPA kubwa TRA sijui Nini Ni uongo mtupu.ππ
Sijui bwana dogo anasema msimamizi alikuwa anamuhimiza Lily aje alikuwa 7/7 ili aje afanye paper Na alipoingia tuuu paper ikafunguliwa. Mimi siyo msailiwa ila pesa tuliotoa kwa madogo inaumaLily Ni Nani mkuu?
ππ Duh pole Sana mwanangu nadhani mpk hapo wewe mwenye 1st hand experience unaweza kua shuhuda mzuri wa urasimu wa utumishi.Uzuri mbinu zimeonekana dhahiri! Kuna mwaka graduate mmoja muuza mkaa tu hapo mabibo zilitokea nafasi kama hizi watu wakapambana wee hapo tuko na bro tulipiga nae jiwe la kwanza hapo versity jamaa alikuwa smart sana kwenye kinyangβanyiro hiko maeneo ya DUCE tukafanikiwa kuwa top of the list candidates with average ya above B+ ila huyo bro ali lead kwa kutinga 80 plus out of all candidates!
Cha ajabu kwenye level two kwenye oral alienda bro na yule dogo muuza mkaa mi nikapigwa chini! Kama masihara yule dogo eti kala shavu ndani ya mwaka tu anasukuma premio anavimba mjini! Hakuwa top of the list candidates. Yule bro nae alipata now yuko TPA paleπ
πππ daah mambo ya Lily hayo mkuu,nazidi kujionea tu miujiza aiseee.Sijui bwana dogo anasema msimamizi alikuwa anamuhimiza Lily aje alikuwa 7/7 ili aje afanye paper Na alipoingia tuuu paper ikafunguliwa. Mimi siyo msailiwa ila pesa tuliotoa kwa madogo inauma
Wanagawanya kwa 2 tuππ Duh pole Sana mwanangu nadhani mpk hapo wewe mwenye 1st hand experience unaweza kua shuhuda mzuri wa urasimu wa utumishi.
Achana na hawa jamaa wanaokuja humu wanatupigia story zao za motivational speaker huko Utumishi.