Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Acha kulalamika, utapoteza muda wako. Riziki yako hakuna binadamu wa kuzuia usiipate, pambana.

Halafu achana na mawazo ya chuo kufikiri mtiani ndio kila kitu, tafuta namna tengeneza network.
Lamenting is not a solution.
Japo inakatisha tamaa ila nakushauri hizi ni changamoto za maisha shukuru Mungu kwa yote piga moyo konde angalia connection nyinginezo pata kazi au jiajiri. Maana kama umeweza kutumia 200,000 mpk dsm kumbe unauwezo wa kujiajiri kwa mtaji mdogo.
Stay strong and be positive, we struggle together.
 
Usijisumbue kuomba hizo kazi kama wewe SIYO INTERN WA TRA , wala hujawahi fanya intern, hawawezi chukua mtu wa nje wakati wapo internal-staff mwenye uzoefu ambaye alikuwa anajitolea tu, ni ushauri tu, si lazma uffuate.

vijana fikirini kujiajiri na kuondoa viongozi ambao hawapangi namna ya kuongeza ajira ila wanapanga namna ya kujiongezea kinga , yaani UZUZU.
 
Usijisumbue kuomba hizo kazi kama wewe SIYO INTERN WA TRA , wala hujawahi fanya intern, hawawezi chukua mtu wa nje wakati wapo internal mwenye uzoefu ambaye alikuwa anajitolea tu, ni ushauei tu, si lazma.
Motivational speakers bana.
 
Usijisumbue kuomba hizo kazi kama wewe SIYO INTERN WA TRA , wala hujawahi fanya intern, hawawezi chukua mtu wa nje wakati wapo internal mwenye uzoefu ambaye alikuwa anajitolea tu, ni ushauei tu, si lazma.
Mkuu weka wazi, hizi taarifa maana wadogo zetu wanaingia gharama sana.
 
ACHA UONGO MKUU HUU SIYO USAILI HUU ULIKUWA MTIHANI WA ZAMANI WALA SIYO WA SASAHIVI HUU NILISHAGAUONA KAMA MWAKA AU MIWILI IMEPITA SIYO WA SASA UMEWALISHA WATU MATANGO POLI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…