Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Vunga mkuu, kucheat pia ni moja wapo ya strategy na akili ili ufaulu..
Kushoto kulia, ukiziba kushoto watu wanapita kulia
 
Duh.

Jana nilimuonya mdogo wangu asiende maana utumishi hawaaminiki tena now days.

Yale maisha kabla ya Magufuli yanarudi kwa kasi.

Kuna jamaa niliona analalamika humu ameajiriwa na utumishi lakini alipofika kwenye kituo cha kazi wakamkataa.

Hii nchi watakaokula maisha ni watoto wa viongozi tu.
 
Unazingua. Ukute umefaulu.emu tulia bana,watu kama nyie sijui mkoje,wakati nipo chuo kuna demu alienda kushitaki pia UE imevuja,huwa sijui mna akili gani nyie.hapo kuna wenzio kama wewe hawajauona unawaharibia

Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu mtupu,watu wanaenda kua wafanyakazi wa TRA kwa kupitia pepa zilizovuja then wakiingia makazini wakawa hawana maadili mnaanza kulia Lia wkt watu hata kazi hio waliipata kishenzi.
 

Wewe unadhani katiba mpya mnufaika ni mwanasiasa peke yake?
 
Hata wkt wa Magufuli watoto wa wakubwa walikula Maisha Kama kawa,ikiwemo yeye kumpa u-das binti yake Kule Moro na mume wa huyo binti akapigwa u-das,Jesca akalambishwa kazi rea,mtoto wa Jaji Warioba(Kippi) akapewa ukuu wa wilaya Moshi,mtoto wa Mwenyekiti wa NEC(Jaji Lubuva) akapigwa u-DED,Mtoto wa Zelothe Steven akalambishwa u-Das list Ni ndefu saaaana.

Hii nchi iko hivyo hivyo na Magufuli hakusaidia chochote kwny Hilo, CCM hakijawahi kubadilika.
 
Upumbavu mtupu,watu wanaenda kua wafanyakazi wa TRA kwa kupitia pepa zilizovuja then wakiingia makazini wakawa hawana maadili mnaanza kulia Lia wkt watu hata kazi hio waliipata kishenzi.
Wote walio chaguliwa kufanya written interview wapo qualified mkuu, Ila maswali ya PSRS na PSRS yenyewe ni kama betting tu...
Ukishinda unapiga boom kubaa la uhakika, ukianguka unaanguka mazima kifo cha mande chali [emoji38][emoji23] plus hasara ya nauli
 
Kwa hio watu kua qualified Kuna justify MITIHANI kuvuja sio mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…