Sawa baba mhutu Mtikila tumekusikia!
Ni bora zaidi ya hii himaya ya uamsho inayohubiriwa na radio imani.
W
hivi unaelewa kuna aina ngapi ya uraia? ni kwanini unasema Mungai na Masha ni wageni siyo Watanzania?1. Majuzi nilisikia kuna basi la wanajeshi wa Rwanda lilitekwa na majambazi huko Kagera...walikuwa safarini kutoka wapi na kwenda wapi? Walikuwa wangapi? Ilikuwa safari inayofahamika na vijana wetu?
2. Ule mpango wa kuwapa uraia Warundi takriban 200,000 waliokuwa wakimbizi wakiishi kwenye makazi ya Mishamo na Katumba, ukaharakishwa na Mungai (foreigner?) na hatimaye kutekelezwa na Masha (foreigner?), na ambao umeahirishwa kwa sasa (?) nao ni sehemu ya mkakati wa Hima Empire?
ungesema huyo kanali alikamatwa kwa kosa la kuifanyia upelelezi Rwanda ningeweza kuona mantiki,lakini siyo eti kwasababu ni Mnyarwanda!!Mwezi wa 12 mwishoni Kanali wa jeshi pale makao makuu alibainika kuwa ni mnyarwanda na akawekwa kwa mahojiano maalumu asubuhi alifanikiwa kuwatoroka walinzi wake na kukimbilia rwanda hii ni habari ya kweli na hivi kuna issue inafukuta ndani ya JWTZ kuficha hii habari lakini jamaa wametuzidi sana wapo hata wakuu wa vitengo pale TISS hii nchi haina utawala
Issue ya Hima Empire nimeijadili kidogo ktk nyingine inayoendelea ktk Jukwaa La Siasa. Kwa wale ambao hawafahamu historia ktk baadhi ya makabila ya magharibi ya Tanzania kuna koo za Wahima. Koo hizo zilikua zinatawala Kagera,Kigoma na baadhi ya maeneo ya Mwanza. Nikisoma walaka wa Mtikila na baadhi ya posts humu ndani naona uchochezi na chuki ya wazi dhidi ya Wahima kwa kisingizio cha matendo ya Mnyankole Museveni na Mtutsi Kagame! Nikiangalia sura ya mtu kama Peter Serukamba eti ni Mtutsi ni kichekesho,heri angesema ni Mhutu! Tanzania inao Watutsi walioingia Tanzania toka 1959,baadhi walipewa uraia na mpaka sasa wanaishi kama raia wa kawaida,na wengine wamerejea kwao baada ya Watutsi kuchukua madaraka Rwanda 1994. Tanzania kuna koo za Abahima ktk makabila ya Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wahaha, Wasubi,nk ambao wengine ukiwaona utadhani ni Watutsi wa Rwanda! Kwa hiyo kuweni makini unapojadili hii issue. Usije jikuta na wewe mapambano yakianza ni muhanga wa uchochezi wa Mtikila.Ukweli wa haya unathibitishwa na hatua ya Serikali ya Tanzania kuchagua kuwapa WATUTSI uraia wa tajnisi mwaka 1981 na kuwanyima WAHUTU licha ya kwamba wote hao walikuwepo nchini katika makambi mbalimbali ya wakimbizi. Mkakati wa kuanzishwa kwa dola ya WATUTSI au HIMA Empire upo tena ni wa muda mrefu.
Ole kwako na kwa vizazi vyako vyote, laiti ungejua kuwa museveni wa january siyo huyu wa june ungeskia aibu,baraka zako na ziwe laana kwako na kwa vizazi vyako amenSawa baba mhutu Mtikila tumekusikia!
Mimi binafsi nimeipenda sana hiyo himaya ya ki Tutsi kama kweli ipo, Ni bora zaidi ya hii himaya ya uamsho inayohubiriwa na radio imani.
Himaya ya ki Tutsi ni ya kiafrika, yenye hadhi na maadili ya kiafrika, lakini hii ya uamusho ni ngeni, inafadhiliwa na wale wale waliotukamata wakatufunga minyororo na kutupeleka utumwani huku wakiwabaka mama na dada zetu, baba na kaka zetu wakihasiwa, eti leo wamegeuka wamekuwa watu wema, wanasema sisi na wao ni ndugu damu damu tena ni ndugu bora zaidi ya wamatumbi wenzetu wa Ruvu darajani!!!???? Hiyo haikubaliki, Miafrika lazima tuamke, tupende na kuthamini vitu vyetu wenyewe, tuwe na uzalendo wa kiafrika tulinde raslimali zetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu, vinginevyo Tanzanite itachimbwa Arusha lakini Mtengenezaji na muuzaji mkubwa yuko India.
Kagame is an African hero, ukimpa nchi kama Tanzania yenye raslimali lukuki aiongoze kwa miezi 6 tu, itaitoa kwenye kundi la nchi maskini mno duniani hadi kundi la kati, Mseveni na huyu Kagame ni wana wa Afrika wana uchungu na Afrika, wanajua ni mwafrika na siyo muasia mwenye hakimilki ya raslimali zetu. Long live Tutsi Empire! Long live Mseveni! Long live Kagame!
Hawa jamaa ni noma,hapa Tz wamo Jeshini,Polisi,Magereza,TRA,TCRA,TANESCO,PCCB,MUHAS,EWURA,DAWASCO,TISS,mpaka Task Force,wanaangalia saa tu siku moja mkuu wa majeshi atakuwa na Tutsi origin,TISS HIVYOHIVYO,PCCB NA SERIKALINI KOTE.Wameingiza watu mpaka wamefikia ngazi za ukurugenzi na ukuu wa idara.