kumbe lengo kuu la kagame, inasemekana anao mpango in the near future, kuteka maeneo ya Kagera,Ngara, Karagwe na sehemu za mkoa wa Kigoma, kuwa maeneo ya Rwanda kama alivyokuwa amefanya idi amin dadaa kwa mkoa wa kagera. inasemekana kuna imani huko Rwanda kuwa maeneo hayo yalikuwa ni maeneo ya Rwanda miaka hiyo ndio maana watu wa maeneo hayo wanakaribiana kwa kufanana sura.
kuna mpango wa kuja kuivamia tz....hahaha. hivi, chukulia mfano, maeneo ya katavi,kibondo, karagwe,bukoba,ushirombo, kahama, biharamulo n.k ambako asilimia kubwa ya wakazi ni asili ya Rwanda, siku wakianzisha vurumai kama walivyoianzisha goma, wanataka kukata vipande kadhaa vya Tanzania maeneo hayo hapo juu na maeneo kadhaa ya congo, ili nchi ya Rwanda ambayo ni ndogo kulingana na watu, walau wapate maeneo ya ku extend. TANZANIANS BEWARE OF THIS, tufukuze hawa watu warudi kwao wote, asibaki hata mmoja kama tunataka amani kwa nchi yetu. sasa hivi hatuwezi kuona madhara, lakini kwa miaka ya baadaye, watoto na wajukuu wetu wataingia tu vitani. amini usiamini. mpaka kati yetu na nchi hizo uwekwe vizuri kuanzia leo, na jeshi liwekwe kule.
tatizo ni kwamba, tukiwaruhusu wakiwa raia tu, watakuwa wanapigana wakijifanya wao ni raia wa tz kama wanavyopigana kule congo, na rwanda wamepakana nayo watakuwa wana pata suply ya silaha.