Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
ss ndo yanaanza kuonekana aliyoyasema mtikila!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani mtu atoe waraka wote huu,uwe uongo kuna kaukweli fulani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
TISS na vyombo vingine vya dola visimpuuzie Mch.Mtikila, jamaa huyu noma - yaani Wilaya, Kata, Vitongoji, Vijiji na wote wale walio tajwa na Mtikila wapo kweli. Sijui utafiti anafanya kutumia njia gani!Haiwezekani mtu atoe waraka wote huu,uwe uongo kuna kaukweli fulaniSent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
tiss na vyombo vingine vya dola visimpuuzie mch.mtikila, jamaa huyu noma - yaani wilaya, kata, vitongoji, vijiji na wote wale walio tajwa na mtikila wapo kweli. Sijui utafiti anafanya kutumia njia gani!
ndio raisi kikwete anayapata kujua haya yote leo hii!
Nasema tena nasema idara ya usalama ya tanganyika (tiss) ni zero kabisa.
Mungu ibariki tanganyika.
JF bana, 'home of great thinkers'
Juzi hapo huyo Mtikila alisema mabomu ya Arusha yalipangwa na CHADEMA, akapondwa sana humu na matusi juu yake.
Leo the same Mtikila kaibuka na jingine la shutma dhidi ya watutsi, ila leo amekua shujaa na mzalendo, mzalendo anayediriki hata kumwita Mwalimu JK Nyerere "baba wa watutsi",
Hata wanazi wa CHADEMA humu JF wanasema eti Mtikila sio wa kumpuuzia, real?
Kwa mtanzania kila mtu atakua adui sasa si mkenya wala mnyarwanda bado mzanzibari na mmalawi.
Kazi kwelikweli!
Na kama hizi ndio fikra za 'great thinkers' then ukombozi utaendelea kuwa msamiati wa kigeni.
Ana ndoto za mchana kweupe. Wilaya kama vile ya Kinondoni, ipigane na kuteka nchi inawezekana kweli.
Si ukubwa wa eneo unaochapa mkuu, ni uwezo wa jeshi kwenye kila upandeAna ndoto za mchana kweupe. Wilaya kama vile ya Kinondoni, ipigane na kuteka nchi inawezekana kweli.