Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Haya mambo ukiwa na upeo wa kawaida ni ngumu kuyaelewa, wanataka wapewe mkoa wao yaani mkoa wa chato. Wahaya wakisema, wanaambiwa misifa. Hawa watu wana long plans for conquering our territory.
 
[emoji234][emoji234][emoji234][emoji234]
 
Hatari sana hii, je khali ikoje kwa sasa au hakukua na uhalisia?
 
wameondolewa kwa kusikitisha daah afadhali hawapo tena tunashukuru, maamuzi magumu wangine walikimbia saa kumi usiku hongera JK na Lowasa umeacha legacy kubwa mno
huwenda wamerudi tena kwa wingi zaidi katika ya mwaka 2016 mpaka 2021.
 
SUALA LA DP WORLD NA BANDARI ZETU LIMENIFANYA NITAFUTE UZI HUU NA NIJIKUMBUSHE NONDO ZILIZOMWAGWA NA MTIKILA, R.I.P.
Ujio wake hapa bongo juzi kati ghafla bwana Bernard anakufa, wajeda kadhaa wanafutwa kazi huko Rwanda na DP WORLD inashika hatamu... Kumbe DP WORLD ilikuwepo Rwanda kitambo Sana. Tukiunganisha doti kama Kuna jambo flan hivi.... Anyway ngoja wajuzi waje kuchimbua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…