Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Nimegundua humu wengi wako usalama mtu wa kawaida huwez jua haya yoote sasa kwann serikal inawaacha tu naskia pia wapo na wakenya wana vyeo
 
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!

Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!

Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!

Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???

Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Hii story ndo inasemekana ilisababisha kifo cha Mtikila.
 
Hii Tanzania na aina ya viongozi tulionao inatia shaka. Inakuwaje mtu ambaye hata jeshi,usalama wa taifa,polisi wala intelijensia ya namna yoyote akapata taarifa muhimu namna hii kuhusu usalama wa taifa letu wakati tuna idara lukuki zihusuzo uslama ziko kimya! Tueleweje? zaidi ya kuamini yasemwayo?

Wenzetu wameshaanza kujipanga kuishi kama ufalme (empire) kwa ajili ya vizazi vyao, sisi tumebaki tunaishi kama kuku kwamba kesho itajiju! hii ni hatari sna ki kweli kwa usalama na uhai wa taifa letu.

Hao wenye mamlaka ni kazi gani wanafanya?
Kumbe Mtikira alikuwa wa moto sana
 
nimezisoma hizi nondo, ingependeza sana kama zingefanyiwa editing ziwe na mtiririko mzuri

Hawa jamaa ni noma,hapa Tz wamo Jeshini,Polisi,Magereza,TRA,TCRA,TANESCO,PCCB,MUHAS,EWURA,DAWASCO,TISS,mpaka Task Force,wanaangalia saa tu siku moja mkuu wa majeshi atakuwa na Tutsi origin,TISS HIVYOHIVYO,PCCB NA SERIKALINI KOTE.Wameingiza watu mpaka wamefikia ngazi za ukurugenzi na ukuu wa idara.
Hakuna Tiss Mnyarwanda..
 
mtikila aliwahi kusema katibu mkuu wa sasa wa nccr mageuzi sam ruhuza anaandaa jeshi la uasi kwa msaada wa kagame na kwamba eti sam amekua akikutana na kagame mara kwa mara! bahati nzuri sam ni mshkaji wangu sana tu na wala huyo kagame hajawahi hata kukutana nae na wala hamjui zaidi ya kumuona kwenye luninga tu,hiyo ilikua 1995!

Ila this time amegusa pabaya,amemgusa kagame,tusubiri kuona akigongwa na gari au akivamiwa na majambazi wasiojulikana na kuuwawa
Ulitabiri kifo chake cha Mtikila.
 
Bwana mkubwa tatizo ni nini? msomali au mtutsi? Mmalawi au mjaluo? Si bora hao watutsi tunaopakana nao kuliko wasomali, Je hujui kuwa mwanajeshi Nyirenda aliyepandisha bendera mlima kilimanjaro alikuwa mmalawi? Angalia ramani ya Tanzania, tunapakana na nchi lukuki na raia wa mipakani hata kabla mzungu hajachora hiyo mipaka walikuwa wana move kutoka sehemu moja hadi ingine.

Chokochoko dhidi ya watutsi inatokana na dhana potofu inayohubiriwa na watu wa dini fulani kuwa watutsi wana asili ya kiyahudi, na hiyo dini haina mapenzi mema na wayahudi. Vinginevyo, wazee wa Kilosa walitamka hadharani kuwa Mkulo ni mmalawi lakini mkuu wa kaya aliendelea kumpa uwaziri wa fedha hadi kazi ilipomshinda, Wazalendo kama wewe mlikuwa wapi? Mkuu wa ccm ni msomali tena mwindaji wa tembo, mbona uko kimya?? biashara kubwa na raslimali zote za nchi yako haziko mikononi mwa raia, wewe unakasirikia wafugaji wa kinywaranda? hayo ndo mambo ya msingi ambayo unabidi ujiulize mara mbili mbili kuliko hao maskini watutsi ulio nao sua.
Ki historia wanyarwanda na warundi ni wafugaji na wafuagaji wanahama hama kutafuta malisho, wafugaji si wamefika na kufanya vita rufiji na maeneo mbali mbali ya morogoro??

Je huko nako ni wanyarwanda wamechukua ardhi ya tanganyika?Nakumbuka maisha yangu ya utotoni kwenye 1970's huku kwetu maeneo ya Musoma, hawa jamaa walikuwa wanakuja vijijini kuomba kazi ya kuchunga ng'ombe, walikuwa wanaitwa "abha kanga" kwa kilugha chetu, mshahara wao ulikuwa ni maziwa, akishakamua anajipimia kiasi cha maziwa anachotaka. Watu wa maeneo ya ukanda huu hawa ni ndugu zetu, hata lugha tunazoongea zina maneno mengi yanayofanana, majina ya watu, maeneo na vitongoji vinafanana kwa kiasi fulani, tumekuwa nao pamoja kabla ya kuwajua wazaramo au wandengeleko, Huko nyumba ukanda huu watu wahakuwa wapenzi wa RTD, walikuwa wana tune radio rwanda kigali, kupata miziki ya uhakika, sikinde sijui ngoma ya ukae yalikuwa ya huko daslam
Huu pia ni ukweli kama ukweli mwingine
 
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!

Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!

Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!

Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???

Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Hivi mtikila ndo Yule alifariki kwenye Ajali?..
 
Back
Top Bottom