CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
NDIO MAANA ALIUWAWA NA KAGAME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIO MAANA ALIUWAWA NA KAGAME
Ndiyo naisoma hii kitu leo . Naamini PK alikuwa na mkono kwenye kifo cha Rev. MtikilaMtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!
Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!
Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???
Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Agongwe mara ngapi au huko ahera?hapa akigongwa na gari inaonekana plan zake za mauaji unazifahamu
Ni ukweli mtupuKukithiri kwa rushwa kwa baadhi ya viongozi kunapelekea haya yote
Kazi ya PK hiyoNasikia alitengenezeea ajali akafariki
Acheni propaganda za chuki dhidi ya makabila hivi mkiwa na mawazo ya ubaguzi sahau maendeleo daima, maana muda mwingi mna poteza kwenye mambo ya ukabilaHakuna Tiss Mnyarwanda..
Bongo ni kichwa Cha mwendawazimuMiaka 10 baadae unafikiri wamezaliana wangapi?
Na wamo sehemu ngapi naona mpaka pilot wa viongozi wanaweza kuwa wao na wamewekwa na wao
Sahihi mkuu.. umeiweka katka kitambo chako ?Mtikila ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kweli, tatizo yupo ofisi mbovu tu (chama chake)
Tukipata watu watatu tu walio kama Mtikila bila shaka tutashinda!
Acha kuwapa sifa ambazo hawastahili naona vijana mnavyodanganyana humu mara ooh sijui watusi wapo kila sehem na wapo sehem nyeti nani kawadanganya nyie kwamba mambo ni rahisi rahisi kama mnavyofikiria acheni kujidanganya anaweza akawa yupo serikalin na ni mtusi lakin asijue lolote wala asifanye lolote na wala asijue chochote acheni kuleta propaganda za kipumbavu mnafikir nchi inaendeshwa ovyo ovyoHawa jamaa ni noma,hapa Tz wamo Jeshini,Polisi,Magereza,TRA,TCRA,TANESCO,PCCB,MUHAS,EWURA,DAWASCO,TISS,mpaka Task Force,wanaangalia saa tu siku moja mkuu wa majeshi atakuwa na Tutsi origin,TISS HIVYOHIVYO,PCCB NA SERIKALINI KOTE.Wameingiza watu mpaka wamefikia ngazi za ukurugenzi na ukuu wa idara.
ACHA UJINGA soma mkataba wa lemera jinga sana weeweAcha kuwapa sifa ambazo hawastahili naona vijana mnavyodanganyana humu mara ooh sijui watusi wapo kila sehem na wapo sehem nyeti nani kawadanganya nyie kwamba mambo ni rahisi rahisi kama mnavyofikiria acheni kujidanganya anaweza akawa yupo serikalin na ni mtusi lakin asijue lolote wala asifanye lolote na wala asijue chochote acheni kuleta propaganda za kipumbavu mnafikir nchi inaendeshwa ovyo ovyo
Rest in Peace Christopher Mtikila andiko lake ndio lilitutoa kwenye usingizi na TISS walishindwa kumsaidia Akashiwa kuuliwa na Kageme menDuuuuh huu uzi sikuwahi kumuona asee.... Leo nimeupitia wote.... Hatari Sana.... Ingekua Kuna option ya 'pin' basi ningeomba Mods wau'pin hapo front page ili Kila anayeingia JF siku yoyote ausome kujihadhari...
😢😢😢🙄🙄🙄 Hivi alifariki kifo Cha namna gani?Rest in Peace Christopher Mtikila andiko lake ndio lilitutoa kwenye usingizi na TISS walishindwa kumsaidia Akashiwa kuuliwa na Kageme men