Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Kukithiri kwa rushwa kwa baadhi ya viongozi kunapelekea haya yoteKwa kweli nimestuka sana, baada ya juzi kukutana na binti baba yake mkongo, mama yake mrwanda. Halafu anajiita mtanzania kabisa! Wamejaa pale UDOM