Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Hawa jamaa ni noma,hapa Tz wamo Jeshini,Polisi,Magereza,TRA,TCRA,TANESCO,PCCB,MUHAS,EWURA,DAWASCO,TISS,mpaka Task Force,wanaangalia saa tu siku moja mkuu wa majeshi atakuwa na Tutsi origin,TISS HIVYOHIVYO,PCCB NA SERIKALINI KOTE.Wameingiza watu mpaka wamefikia ngazi za ukurugenzi na ukuu wa idara.
Aisee, ni noma
 
mtikila aliwahi kusema katibu mkuu wa sasa wa nccr mageuzi sam ruhuza anaandaa jeshi la uasi kwa msaada wa kagame na kwamba eti sam amekua akikutana na kagame mara kwa mara! bahati nzuri sam ni mshkaji wangu sana tu na wala huyo kagame hajawahi hata kukutana nae na wala hamjui zaidi ya kumuona kwenye luninga tu,hiyo ilikua 1995!

Ila this time amegusa pabaya,amemgusa kagame,tusubiri kuona akigongwa na gari au akivamiwa na majambazi wasiojulikana na kuuwawa
Duh. Huu ni utabiri?
 
Back
Top Bottom