mtikila na wenzake wanao muunga mkono wamefikia mwisho wa kufikiria.....hivi mi nashangaa hii nchi kuna ubaya gani mtu kuwa Mnyarwanda? Haki ya mama mzungu anaishi raha mstarehe humu nchini kuliko mnyarwanda amabaye huwezi kumtambua kwa sura wala lugha.....acheni ubaguzi
huyu mzee Mtikila serikali huwa inampuuza na kumwona kama hamnazo vile lakini kiukweli mambo ambayo huwa anayatoa ni kweli tupu! Kagame na Mseveni lao ni moja...kumega ardhi ya Tanzania yaani mkoa wa Kagera uende Uganda na Kigoma uende Rwanda! kila mwaka mseveni anasogeza mpaka wake kuingia ardhi ya Tz. beacons za mpaka zimeng'olewa, waganda wanalima katika ardhi yetu na wanamiliki kuwa ni mali yao! Kagame yeye anaruhusu wafugaji wa nchi yake kuingiza ng'ombe katika misitu ya hifadhi ya nchi yetu. kagame ameruhusu wanawake wa kinyarwanda waolewe na watanzania lakini kamwe wao na watoto wanaozaliwa hawaachi asili yao. wanasoma katika nchi yetu wanakuwa viongozi tangu ngazi za vitongoji, wanawakaribisha ndugu zao toka Rwanda. idadi yao inaongezeka na kuwa threat kwa usalama wa TZ, but the giant Tanzania is sleeping! mkitaka kujua Kagame na Mseveni lao ni moja na wako against Kikwete tafakari hili. hivi karibuni baada ya serikali yetu kupitia Waziri Membe kutoa tamko dhidi ya wapiganaji wa M23 kwamba tutapeleka majeshi yetu DRC Kagame na Mseveni waligoma kuhudhuria hafra moja ya EAC huko Arusha. walituma wawakilishi wao tu! Our dear President Kikwete and TISS wake up and ACT now! sisi tunaweza tukafa leo lakini tukawaachia matatizo watoto na wajukuu wetu kesho!
Ninakuunga mkono asilimia 100% ndugu yangu...mtikila amezoeleka na ninaona chanzo chake ni kanisa hilo la Butera....sisi ni ndugu na kama mtikila anahubili huo uongo ninashangaa kama kweli ni mcungaji .....
Mkuu kuna habari nimesoma kwenye gazeti Jeshi la Uganda likisema wanasisa wasipo eleweka au kuleta upinzani basi jeshi litachukuwa madaraka kinguvu na M7 anasapoti vitu kama hivyo, hii inatoa picha gani - kwamba jama huyu atabaki madarakani 4 life na akiondoka atamrithisha labda mtoto wake au jamaa wake wa karibu - yuko radhi ku-muzzle mambo ya demokrasia nchini Uganda kwa visingizio kwamba akiondoka nchi itavurugika! Fikila za M7 na Kagame azina tofauti hata kidogo, wote wanataka wabaki madarakani kwa kisingizio chochote kile na ndoto zao za kiimla za kutaka kijitanua ndani ya maziwa makuu nk bado hazijafa, uzuri ni kwamba the World is watching .Mkuu kwa nini unashangaa kuhusu makala ya Ndugu Mihangwa kutoendelezwa - Don't ask the obvious mkuu!Hii ishu ni kweli kabisa, kuna makala ya Mihangwa kwenye gazeti la Raia Mwema kama wiki tatu zilizopita alianza kuelezea kuhusu M7 na PK kuwa na mpango wa kuanzisha Jamhuri ya Wahima katika eneo la maziwa makuu, jamhuri hiyo itaanzishwa kwa kuunganisha UG RWA na eneo la Mashariki ya DRC na maeneo ya Magharibi ya TZ, lakini wiki iliyofuata makala hiyo haikuendelezwa, nadhani kuna mchezo ulifanywa na wahusika wa hilo gazeti.Lakini PK na M7 wanajidanganya, sisi si wajinga na mbinu hizi chafu zitabackfire kwao kwa sababu zinajulikana na jumuiya nzima ya kimataifa ni ishu ya muda tu.
Hivi huyu mkulu (fazahausi) huwa anapata muda wa kupitapita humu?, ingeweza kumsaidia sana
huyu mzee Mtikila serikali huwa inampuuza na kumwona kama hamnazo vile lakini kiukweli mambo ambayo huwa anayatoa ni kweli tupu! Kagame na Mseveni lao ni moja...kumega ardhi ya Tanzania yaani mkoa wa Kagera uende Uganda na Kigoma uende Rwanda! kila mwaka mseveni anasogeza mpaka wake kuingia ardhi ya Tz. beacons za mpaka zimeng'olewa, waganda wanalima katika ardhi yetu na wanamiliki kuwa ni mali yao! Kagame yeye anaruhusu wafugaji wa nchi yake kuingiza ng'ombe katika misitu ya hifadhi ya nchi yetu. kagame ameruhusu wanawake wa kinyarwanda waolewe na watanzania lakini kamwe wao na watoto wanaozaliwa hawaachi asili yao. wanasoma katika nchi yetu wanakuwa viongozi tangu ngazi za vitongoji, wanawakaribisha ndugu zao toka Rwanda. idadi yao inaongezeka na kuwa threat kwa usalama wa TZ, but the giant Tanzania is sleeping! mkitaka kujua Kagame na Mseveni lao ni moja na wako against Kikwete tafakari hili. hivi karibuni baada ya serikali yetu kupitia Waziri Membe kutoa tamko dhidi ya wapiganaji wa M23 kwamba tutapeleka majeshi yetu DRC Kagame na Mseveni waligoma kuhudhuria hafra moja ya EAC huko Arusha. walituma wawakilishi wao tu! Our dear President Kikwete and TISS wake up and ACT now! sisi tunaweza tukafa leo lakini tukawaachia matatizo watoto na wajukuu wetu kesho!
Inasikitisha sana yaani, watu wanasahau ukweli kwamba kihistoria tanganyika, rwanda na burundi ziliwahi kuwa nchi moja, chini ya mamlaka moja ndani ya nchi ikiitwa German East Africa??
Hapana haimpuuzi bali ina mtumia kuwajulisha "hao" kuwa nyendo zao zinajulikana...Huyu mzee Mtikila serikali huwa inampuuza na kumwona kama hamnazo vile lakini kiukweli mambo ambayo huwa anayatoa ni kweli tupu!....
mtikila na wenzake wanao muunga mkono wamefikia mwisho wa kufikiria.....hivi mi nashangaa hii nchi kuna ubaya gani mtu kuwa mnyarwanda? Haki ya mama mzungu anaishi raha mstarehe humu nchini kuliko mnyarwanda amabaye huwezi kumtambua kwa sura wala lugha.....acheni ubaguzi
Mwezi wa 12 mwishoni Kanali wa jeshi pale makao makuu alibainika kuwa ni mnyarwanda na akawekwa kwa mahojiano maalumu asubuhi alifanikiwa kuwatoroka walinzi wake na kukimbilia rwanda hii ni habari ya kweli na hivi kuna issue inafukuta ndani ya JWTZ kuficha hii habari lakini jamaa wametuzidi sana wapo hata wakuu wa vitengo pale TISS hii nchi haina utawala
mtikila aliwahi kusema katibu mkuu wa sasa wa nccr mageuzi sam ruhuza anaandaa jeshi la uasi kwa msaada wa kagame na kwamba eti sam amekua akikutana na kagame mara kwa mara! bahati nzuri sam ni mshkaji wangu sana tu na wala huyo kagame hajawahi hata kukutana nae na wala hamjui zaidi ya kumuona kwenye luninga tu,hiyo ilikua 1995!
Ila this time amegusa pabaya,amemgusa kagame,tusubiri kuona akigongwa na gari au akivamiwa na majambazi wasiojulikana na kuuwawa