kwa kweli waraka huu umenihuzunisha, yani ni kweli tupu...mimi kama mwenyeji wa maeneo yaliyotajwa nakiri wazi kuwa maneno ya mch. mtikila ni kweli tupu. Kumuhusisha Peter serugamba a.k.a Peter serukamba myarwanda ,ambaye pia anasadikiwa kuwa mtunga sheria katika serikali ya Tanzania hapo sina la kusema ila kwa maelezo ya kagera ni halisi na kweli, ila kwa hali ya siasa za tanzania mtikila atapuuzwa. Mahala ambapo mtikila hajatusaidia ni nini rais wetu afanye kunusuru wanakagera hasa wahaya na wasukuma, nakumuka wanyarwanda walishafika mpaka rushwa na kyansheshe na ruhita nzima kwa kuweka ranchi za hatari,kuna hadi tajiri mmoja aishie nshamba anayesemekana kuwa agent wa mtandao huu hasa upande wa kuora mifugo na ardhi pamoja na makazi ya watu waishio maeneo ya rushwa,aparushwa ni jina la eneo , wanajf msihisi naongelea rusha ile muijuayo. Aya mambo yanajulikana na usalama wa taifa unajua ila ni kuwa tatizo kuu ni conspiracy ya viongozi wakubwa katika nchi yetu kuhusika,Taifa letu si salama na ni njia ya mabwana wa vita hasa uku chini maeneo ya kusini wma jangwa la sahara ikiwemo congo n.k kama ndege za kivita zinaingia migodini ardhini uko kanda ya ziwa bila hata kutua airport ya mwanza au hata kukaguliwa na kuondoka na madini ikiwemo kubadlishana silaha za kivita, na ndege za kiarabu tena za kivita kuingia nchini na kubeba mpaka wanyapori kama twiga , tutaweza kuiita tanzania kuwa ni salama na mipaka yake??
Wananchi wa biharamulo, buligi , ngote, nsheshe,muleba,mubunda,katoke, kigarama , rushwa na kwingineko ni mashaidi wazuri wa utumwa asemao mch mtikila, ila nijuavo si wasukuma tu wanaoonewa bali hata wahaya , na hata wanyamwezi na waliohamia kutoka kwingineko tanzania wanapata wakati mgumu maishani...
ugumu utakuja pale tu kwa kuwa wanyarwanda waliohamia maeneo aya hakuja jana wala mwaka 2007 asemavyo mtikila ila hata wengine wana maisha ya kudumu tanzania japo si raia,mfano ukiangalia shule za sekondaro pale biaramulo hasa uko omulugwanzwa na kwingineko asilimia 80% ni wanyarwanda, ma headmaster wanyaru,nk nk, je unaanzaje kuiengua jamii hii ya wanyarwandwa nchini Tanzania?? Mfano nenda siku za kufunga shule uko biahramulo, mabasi yote uelekea rwanda na burundi kurejesha wanafunzi kwa ndugu zao yani ni kama kwao ...TANZANIA NI MOJA YA MAAJABU YA DUNIA