hakuna ubishi kuwa jiji la dsm limejaa wahamiaji haramu kuanzia sinza, tegeta wanayo maduka mengi na wanaishi kama watz, wamejichanganya maeneo mengi sana hapa dsm na si rahisi kwao kujulikana. wengi wao wanajiita waha toka kigoma, wengine wanajiita wahaya. naomba serikali ile operation ya kagera kigoma rukwa ikimalizika, tuanze na jiji na dsm na mwanza. mwanza ndio wamejaa wengi wa kumwaga. mji wa kahama ndio matajiri walio wengi ni wanyarwanda, na makahaba wa kahama na mwanza walio wengi wametoka rwanda. wale wa kahama nenda bar ya bijampola ujipakulie wa kumwaga. wanunuzi wakubwa wa mchele shinyanga ni wanyarwanda, wamejenga sana kahama, shinyanga, runzewe, biharamuro ndio usiseme.. kule kwetu kigoma asilimia kubwa ni wao.