Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Uyo nae MGONJWA tu,miaka chungu nzima chama chake hakikui,anabaki kujadili vyama vya wenzake.
 

Wee umeandika nini? Ni lugha gani umetumia? Maana duu naona Kama jongoo kapita, kiingereza si kiingereza yaani full mbwembwe!

Kama wanachama wenyewe wa CDM ndio hawa basi kazi mmnayo!
 
Wee umeandika nini? Ni lugha gani umetumia? Maana duu naona Kama jongoo kapita, kiingereza si kiingereza yaani full mbwembwe!

Kama wanachama wenyewe wa CDM ndio hawa basi kazi mmnayo!

Mkuu msamehe ndio ameanza kutumia touch screen, jitahid usome vzr badala ya 's' weka 'a'
 
Mimi sitaki CDM yeyote ile kwani zote ni maangamizi, Mambo mazuri yako CCM tu kwingineko ni VIVULI TUPU

Mimi naona CCM ni genge la mizigo,wezi wa raslimali zetu tu,wabakaji,wauza unga,wauaji,majangili na wala rushwa wakubwa.CDM NDIO HABARI YA MUJINI NA VIJIJINI KWA SASA!
 
Wee umeandika nini? Ni lugha gani umetumia? Maana duu naona Kama jongoo kapita, kiingereza si kiingereza yaani full mbwembwe!

Kama wanachama wenyewe wa CDM ndio hawa basi kazi mmnayo!

acha mbwembwe,ujumbe umeupata!
 
Hakuna haja ya kuwajadili watu kama kina Mtikila, hawa ni waganga njaa tuu, sijui ni dini gani inayobagua watu kidini, kikanda, kikabila nk, napata mashaka na uchukungaji wake, au kanisa lake ndio lake lina malengo tofauti na makanisa mengine, hii ni hatari. Mtikila ni mwanasiasa na ana chama, lakini watanzania tujiulize, chama cha Mtikila kina manufaa gani kwetu, tuna matatizo mengi sana nchini hatuoni impact ya chama chake katika utatuzi, kwanza watanzani hawajui hata chama chake kipo wapi, kinafanya nini, ni ulaghai tu, wanasubili uchaguzi ufike wachukue pesa ya kampeni, uchaguzi ukiisha huwaoni tena mpaka uchaguzi ujao, watanzania tuwe makini na watu kama hawa na vyama vyao, Mungu ibariki Tanzania.
 
Mtikila tapeli wa viwanja anatumia walemavu kutapeli watu viwanja vyao
Siasa zimemshinda amekaa kutapatapa na utapeli
Mambo ya Chadema yana muhusu nini? Jenga chama chako mwakani upate hats mbunge
 
Hivi mkitikila nani? siyo kama ana cho chote zaidi ya kutumika kama tarumbeta. Wapo watu wa kusema siyo Mtikila.

Wewe ukiwa na jambo na mtu yeye mtafute mtikila anajua kuongea kwenye vyombo vya habari kuchafua.
Hivi siku hizi unahishije maana wakina Rostam hawakupi hela tena.
 
Chadema ni chama imara ndio maana watu wanakijadili mbona DP,NCCR,TLP au UDP hakuna anayekijadili wala kutaka kukielezea....Mie ninavyojua Chama Bora cha upinzani ni Chadema Hapa Tanzania
 
ZZK ni mtetezi wetu kuanzia ndani ya chama haswa matumizi mabaya ya rasilimali mpaka nje ya chama hata serikali ya ccm inamfaham na ZZK km mbunge wa Kigoma amebadilisha kabisa muonekano wa Kigoma na Kigoma tuliyonayo leo sio ya miaka 10 ilopita na haikutegemewa kupiga hatua namna hiyo hivyo tunamuhitaj ZZK kuliko hata CDM na huyo mzee asifikiri kura zaid ya asilimia 40 alizopata KG n kwa umaarufu wake bali n nguvu ya ZZK na nadhan hata yy akilickia hili atakubaliana na mm kwan anafaham yaliyomkuta alivokwenda et kujisafisha kwa waha na jinc ZZK alivopokelewa, ANAFAHAM
 
Misukule wa fikra nnaongozwa na hisia badala ya hoja, mtazame mtikila chama chake kimemfia mikononi mwake amebakia mwenyekiti wa chama cha mahakamani
 
Mtikila ana vituko! amefanya nini kuisaidia DP yake? mbona haina hata diwani mmoja nchin? Ya ngoswe amuachie ngoswe, kama CDM wameboronga, well, critique muhimu, lakini yeye akiwa na dhamana ya kuongoza Taasisi ya Kisiasa (DP), let him walk his talk to establish the difference, otherwise KATUMWA! According to Bandura, we are more able to learn through modeling and imitations! the questions is; who is the good model between CDM and DP?
 
Huyu mtikila lini aliwahi kufanya uchaguzi DP? Nani katibu mkuu wake? Address yake ipi? Sasa naona awashwa kwa mbali. Yeye kinamuuma nini? Amemaliza kesi zake zaidi ya 100?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…