Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana kinasambaratika tu,kwasababu ni cha kikabila sio cha kitaifa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee ni kati ya wale wazee wachumia tumbo, kila kukicha na mafaili yake mahakamani, hadi wale makarani wa mahakamani wameshakachoka haka ka dingi. kesi haziishagi miaka nenda rudi.
Huyu ndo alikuwa mpiganaji. Siyo hawa wanaofanya madudu wakiitwa mahakamani, wanasingizia ugonjwa. Wengine wanatoroka na kutaka msaada wa kurudi, wengine oooh! tunawindwa. Mtikila alishasema akiingia Mahabusu, anawapuga siasa wenzake mpaka anatolewa.
 
Bila shaka alitukanwa sana Mtikila
 
Alikua anaona mbali..



...Ni hayo tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…