Vipi maoni yako ya sasa kuhusu DP kutofanya uchaguzi kipindi kile?Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,
Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,
Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
Watanzania tumechelewa sana kuufahamu ukweli kuhusu chadema.chadema ni chama cha kilaghai
Yericko Nyerere njoo usome comment yako hii kuhusu chama cha DP. Halafu ulinganishe na unachokitetea hivi Sasa.Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,
Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,
Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
FUSO bado una mtazamo huu mpk leo??Huyu mzee ni kati ya wale wazee wachumia tumbo, kila kukicha na mafaili yake mahakamani, hadi wale makarani wa mahakamani wameshakachoka haka ka dingi. kesi haziishagi miaka nenda rudi.
Watoto wa 2000 poleni, hizi thread mnazutumwa kuzipakia upya humu kweli basi hamumjui marehemu Mtikila vizuri. Muulizeni Mzee Giafar Beda wa Badr East Africa kwamba marehemu Mtikila alikuwa anaenda kufanya nn kwenye ofisi yake pale alhamza na Kwa alikuwa akiwaita magabacholi kipindi kileNa Mbowe ni Mwenyekiti wa maisha wa Chadema
Mpumbavu wewe mimi nina uwezo wa kuwa baba yako kabisa pumbavu kabisaWatoto wa 2000 poleni, hizi thread mnazutumwa kuzipakia upya humu kweli basi hamumjui marehemu Mtikila vizuri. Muulizeni Mzee Giafar Beda wa Badr East Africa kwamba marehemu Mtikila alikuwa anaenda kufanya nn kwenye ofisi yake pale alhamza na Kwa alikuwa akiwaita magabacholi kipindi kile
Amani itawaloweAmani itawale
Kasongo yeyehMpumbavu wewe mimi nina uwezo wa kuwa baba yako kabisa pumbavu kabisa
Imbecile !!Kasongo yeyeh
Ili kuondoa dhana hii ambayo imetawala kwa vichwa vya watz wengi kuwa CDM ni chama cha ukabila, wazo langu naomba MBOWE & SLAA wawapishe watu wengine au mmojawapo aachie ngazi na huyo atae shika nafac ya aliyejiengua km SLAA au MBOWE asiwe MCHANGA, kidogo watz wanaweza kuwaelewa nini mnafanya
Mtikila is right, kuna chadema ya chumbani na ya sebuleni
Mtikila anajua staili zote za wizi ndio maana kwaambia ukweli!!!
Chadema kimenuka!
Hata --------- Mtikila kaliona hilo!
Hatari sana.Hawa vikaragosi Ben Saanane na Yericko Nyerere wapo sebuleni ingawa ni ndom za Chadema ya chumbani
Wakati ni ukuta...Chadema ni saccos ya wachaga,mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ni edwin mte,makamu mwenyekiti ni mzee ndesambulo,katibu mkuu ni freeman mbowe,mweka hazina lilian mbowe mtei,wajumbe,ni lucy owenya,grace kihwelu,dr.slaa ni quas partiner tu,hao mbulula wengine,ni wadandia meli tu.
πππMtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni' Ameeeeeeeeeeeeeeen!praise the Lord haleluyah!! Baba mchungaji!!!!!! Baelezee hao mpaka wajitambue kuwa wapo ku 'sebure' na wenye chama wametulia chumbani!!