Mkuu, hivi una habari kuwa na katibu mkuu wa DP ni mke wake?Sasa huyu baba mchungaji naye si imeandikwa ya Kaisari aachiwe mwenyewe bwana Kaisari!?
BTW yeye na DP yake binafsi sijawahi kusikia mwenyekiti wa chama nje ya jina la Mtikila miaka nenda rudi.
Mkuu, hivi una habari kuwa na katibu mkuu wa DP ni mke wake?
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013
Huyu alipgwa jiwe kule Tarime unakumbuka ? Alikuwa anawaidia CCM hatakaa akasema lolote na hata wewe una akili kama yake au unabisha ?
Watanzania kila siku tunalalamika ni kwa nini nchi yetu ina raslimali zote za kuifanya iende mbele lakini imebakia kuwa masikini na hata maendeleo kidogo tunayoshuhudia ni usimamizi wa moja kwa moja wa wafadhili!!!
Unajua ni kwa nini!??: ...haya haya mambo ya kipindi fulani cha historia kuamua kuangalia balancing ya makabila, dini, ukanda na hata tulipoamua kuliharibu Bunge letu tukufu na slogans za jinsia. Mbona uulizi ni madaktari bingwa wangapi wanatokea ukanda gani au dini gani ili kuleta 'sura ya kitaifa'!
Haya mambo tunaweza kuyazingatia lakini cha msingi ni performance kwanza mengine baadae. Mbona hujamuuliza rais ametumia vigezo gani kumteua Mkurugenzi wa TANESCO au napo kashauriwa na Mbowe!?