Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni
Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili
Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge
Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe
Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala
Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea
Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema