Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda

Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani

Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka

Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni

Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili

Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge

Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe

Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala

Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea

Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Sikio la kufa halisikii dawa
 
Lissu hamjui Mbowe na hatakaa amjue

Mbowe ni mfanyabiashara kwenye siasa, lissu yeye ni mwanaharakati japo harakati zake hazina maslahi kwa Tanzania

Mbowe anataka mgeni kwenye chama ili aongeze kura kwani Mbowe anajua lissu hana ushawishi kwenye boksi la kura

Ndio maana anatafuta mtu akinusuru chama kisife
Usimshike mkono kipofu.

Vipi ndoa ya bubu na kipofu, wanaishije? Jibu wanalo CHADEMA.
 
Chadema ikimpuuza lissu ndio utakuwa mwisho wake.
Hivi kweli mnafikiri Lisu analolote? Hawezi akapata hata kura laki saba, hawezi.
Bora mtu mumtoe CCM, atajaribu kuwaletea angalau mbunge mmoja au wawili.
Ila nina uhakika asilimia 100, CHADEMA hawawezi kumsimamisha Lissu. Afadhali - hata Mnyika ana kaheshima kwa jamii. Akisimama atapata kura zaidi ya million moja.
 
Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda

Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani

Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka

Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni

Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili

Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge

Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe

Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala

Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea

Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Inakuwaje wewe upate habari hii kabla ya Mdude chadema, coronavirus Tanzania na kigogo hawajaipata? Au wao hawaandiki habari mbaya zinazoihusu CDM!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom