Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda

Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani

Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka

Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni

Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili

Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge

Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe

Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala

Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea

Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Tapeli mwana uvccm umebugi
 
Lissu ndiye ngekewa ya chadema kwani anakubalika Bara na Zanzibar kwa misimamo wake na anaweza kukinukisha kama atakuwa na ushahidi kuibiwa kura 2020
 
Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda

Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani

Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka

Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni

Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili

Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge

Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe

Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala

Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea

Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Hahahahahahah wacha wafu wazike wafu wenzao,.
 
United republic of chato international airport burigi..
 
Hahahahaaaaah, umenifurahisha sana. Alikuwa anajiita kawe aluminium. Mara ajiite Namanga, ni mtu mmoja yule. Sijui kapotelea wapi. Kaka huyu aliejiunga juzi, basi hana kazi za kufanya kutwa kuposti upumbavu, namnukuu Bashiru Ally. Atachoka tu, muda sio mrefu.
Hivi sijui yule mtu anaitwa Kawe yuko wapi? Namfananisha sana nawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna namna ni lazima tukibali chairman alikaribisha mgeni akaleta mamluki kibao matokeo yake chama kimekosa mwelekeo

Na awamu hii tena anataka atuletee mgeni hatutakubali ubabe wa chairman bora tugawane mbao
Hehehee gawaneni mbao mapemaaa kieleweke .
 
Lissu hamjui Mbowe na hatakaa amjue

Mbowe ni mfanyabiashara kwenye siasa, lissu yeye ni mwanaharakati japo harakati zake hazina maslahi kwa Tanzania

Mbowe anataka mgeni kwenye chama ili aongeze kura kwani Mbowe anajua lissu hana ushawishi kwenye boksi la kura

Ndio maana anatafuta mtu akinusuru chama kisife
Wanamtaka Jasusi?
 
Back
Top Bottom