Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Pombe imeitwa pombe.kwa.kuwa inapunguza uwezo wa kufikiri wa mtu cwez kukulaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinzani umewashinda kuuwa ndo ya cdm mtayaweza.Vipi tunasubiria mrejesho wa aliyemwekea sumu mwenzenuWanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni
Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili
Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge
Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe
Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala
Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea
Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Ni mtazamo wako tu kamanda ila tunatoa tahadhari
Evidence please usilete majunguWanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni
Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili
Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge
Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe
Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala
Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea
Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
I have never heard people discussing the CCM fate, why do you bother discussing CDM?Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni
Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili
Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge
Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe
Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala
Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea
Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Mbona hamjadili Mangula kulushwa sumu ?Lissu anamjua Mbowe vizuri ndio maana kaamua kulay bacc kidogo. Unaweza kutengeneza jina miaka 10 Mbowe akampa nafasi mtu aliyekuja juzi
Huwa najiuliza sijui una elimu ganiMiradi inaendelea kama kawaida mkuu libero
S
Ujenzi wa bwawa la umeme umeshika kasi
Ujenzi wa reli ya kisasa unaendelea
Ajira mpya kila leo zinatangazwa
Umeme kila kijiji
I have never heard people discussing the CCM fate, why do you bother discussing CDM?
Umeshajifukiza?Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni
Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili
Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge
Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe
Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala
Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea
Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Basi ulivyojikukiza kuna yale majani yanaitwa 'mafurahisa mroso' yalikuwemo kwenye mchanganyiko uliojifukiza.Lazima nitii agizo la Rais
Ni kosa kujidanganya nafsi! Na kutumia pesa za michango ya kusaidia wahanga wa majanga kwa shughuli zisizohusika nalo ni kosa!Miradi inaendelea kama kawaida mkuu libero
S
Ujenzi wa bwawa la umeme umeshika kasi
Ujenzi wa reli ya kisasa unaendelea
Ajira mpya kila leo zinatangazwa
Umeme kila kijiji