Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Bia yetu, asante kwa taarifa hii moto moto, na sisi washauri huru, tunaendelea kuwashauri Chedema ushauri wa bure
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums
P
Lissu ndiye ngekewa ya chadema kwani anakubalika Bara na Zanzibar kwa misimamo wake na anaweza kukinukisha kama atakuwa na ushahidi kuibiwa kura 2020
Ni kosa kujidanganya nafsi! Na kutumia pesa za michango ya kusaidia wahanga wa majanga kwa shughuli zisizohusika nalo ni kosa!
Hakuna namaanisha hakuna mradi unaoendelea kwa Sasa na sababu zilizotolewa ni covid-19 ndio chanzo hivyo wasubiri kwanza!
Nenda sites zote utakutana na walinzi tu!
Usidanganye watu na vijipropaganda vyako vya kitoto!
Dogo unahangaika sana !!. Hata kuku wa kutaga siyo hivi !!.Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda
Hivi ndivyo unavyoweza kusema Ndani ya chama kikuu cha upinzani
Mambo si shwari hata kidogo muda wowote bomu litalipuka
Taarfa zinasema chama kimegawanyika ktk makundi mawili kuna wale wafia chama wanataka agombee yule bwana aliyeko ughaibuni
Ila kuna kundi la chairman linataka limlete mgeni agombee ili
Kundi la chairman Ndio lenye Nguvu kwani linasema tunataka mgombea ambaye atatuletee wabunge
Kundi la kwanza linataka kamanda aliyepo ughabuni ili kulinda madili ya chama kwani wanasema wageni hawaaminiki wana refer kwa mzee wa nywele nyeupe
Naishauri Chadema isiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa, Tunataka tumsimamishe yule kamanda ili atoe Upinzani kwa chama tawala
Tunakuonya chairman ukimsimamisha mgeni, tutakuachia chama sisi tutarudi zetu Nccr mageuzi tulipotokea
Nitaendelea kukuletea taarfa moto moto kuhusu mipango ya mgombea Urais chadema
Lisu hana fedha ya kufika bei iyo nafasi, DJ anacho angalia ni maslai yake kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo unahangaika sana !!. Hata kuku wa kutaga siyo hivi !!.
Mwenyekiti wako mwenyewe anajikausha kutokutaka kufanya kazi na Cdm. Lakini rohoni mnawamiss sana chadema !! Fanyeni kazi na Cuf ya lipumba na Nccr ya mbatia.
Odhis *
Dr Slaa alipokuwa Cdm pia mlimkashifu kila aina ya tusi. Leo kwenu huko kawa mzuri !!.Chama makini ni Nccr mageuzi Hao Chadema walikufa baada ya Dr.Slaa kuondoka
Ni haki yao kikatiba kuweka mgombea wa Urais hata km Watanzania hawamwamini
Haijalishi apate kura au akose
Utapingaje matokeo wakati umeshindwa? Demokrasia ya kweli sio kupinga tu pia wapoongeze
Tume ipo huru sioni umuhimu wa kuhoji matokeo ya u Rais
Tume ipo huru sioni umuhimu wa kuhoji matokeo ya u Rais
Mbona mwaka huu hatufanyi uchaguzi hadi 2025Wanasema mficha maradhi huvalishwa sanda