Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

Sikio la kufa halisikii dawa
 
Usimshike mkono kipofu.

Vipi ndoa ya bubu na kipofu, wanaishije? Jibu wanalo CHADEMA.
 
Chadema ikimpuuza lissu ndio utakuwa mwisho wake.
Hivi kweli mnafikiri Lisu analolote? Hawezi akapata hata kura laki saba, hawezi.
Bora mtu mumtoe CCM, atajaribu kuwaletea angalau mbunge mmoja au wawili.
Ila nina uhakika asilimia 100, CHADEMA hawawezi kumsimamisha Lissu. Afadhali - hata Mnyika ana kaheshima kwa jamii. Akisimama atapata kura zaidi ya million moja.
 
Inakuwaje wewe upate habari hii kabla ya Mdude chadema, coronavirus Tanzania na kigogo hawajaipata? Au wao hawaandiki habari mbaya zinazoihusu CDM!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…