Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

Wenzetu wenye maarifa zaidi yetu huwa hawabomoi bali hutenga eneo jipya na kujenga majengo mengine kupanıua hospitali.

Ukitembea nchi hizo wanatupatia hiyo mikopo utaona hospitali nyingi kubwa zimepanuliwa na huku majengo ya zamani yakibaki palepale.
 
Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?

Rushwa ipo pale ambako wanajitafutia miradi isiyo na umuhimu kwa taifa. Kama kawaida ya siku hizi wazabuni hata hakuna tender wanachagua watu wao gharama za ujenzi waneshajua hata kabla ya ushindani wa tender! Yaani maana yake wamesha piga mahesabu yao
 
Tanzania kama kuna laana fulani
Unaibomoa structure ya muhimbili yaani wanafuta kabisa historia

Ova
 
Ulitaka pajengwe upya bila kubomolewa?

Pafanyiwe repair na kuwa chuo au mabweni ya wanafunzi. Wajenge hospitali sehemu nyingine maeneo yapo mengi hasa sehemu za NHC wana sehemu nyingi sana
 
Kwani muhimbili imeumbiwa mjini tu

Namaqnisha Jeannie wasianzishe kwenye maeneo yao mengine ambayo wanayahodhi kwa jina la muhimbili kinyume chake wanaacha misitu na kufuga mbu wanaosababisha kero kwa wakazi was jirani
 
Kwani muhimbili imeumbiwa mjini tu

Namaqnisha Jeannie wasianzishe kwenye maeneo yao mengine ambayo wanayahodhi kwa jina la muhimbili kinyume chake wanaacha misitu na kufuga mbu wanaosababisha kero kwa wakazi was jirani
Hii ni mada ya muda kitambo.
Hata hivyo wazo lako sikubaliani nalo.
Hospitali ipo karibu na watu ili kutoa huduma kwa watu hao kwa urahisi.
Upeleke Muhimbili Kisarawe, halafu utegemee ihudumie watu wa Dar es Salaam kwa urahisi?

Wewe hapo huoni "kero" ya kwenda hadi Kisarawe toka Dar es Salaam kwenda kutafuta huduma za matibabu?
 
Sijasema muhimbili ihamishwe Bali iwe na wigompana wa kutoa huduma

Mfano hayo majengo yalochoka si Kama yameweka kreki au yanataka kubomoka Ni vile tu kuweka sehemu kurndana na wadhfa wake ssa ushauri Ni hivii vitengo vyote sio lazima vieekwe muhimbili ya mjini Kama baadhi ya operation zihamie na keingine kwenye eneo la kutosha na huo ujenzi wanaotaka wao wakauendeleze huko sio kuvunja majengo yalotumia Kodi zetu ili kukarabati
 
Nadhani hujui unachozungumzia hapa. Ni wazi hujui maana ya hospitali kamili kuwa eneo husika kikamilifu, bila kusambaza vipande vipande vya hospitali hiyo sehemu mbalimbali.
Nadhani unajaribu tu kujifunza mambo mapya kupitia majibishano haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…