Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Wahamie kufata nini wakati pale ni eneo lao?Wahamie Mloganzila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahamie kufata nini wakati pale ni eneo lao?Wahamie Mloganzila
Tanzania kama mgonjwa wa goti anapasuliwa ubongo na mgonjwa wa ubongo anapasuliwa goti,ni wapi unaweza kukuta taasisi ya umma ina ufanisi!!??Muhimbili ilikosewa kwa majengo mengi kuongezewa bila kufuata maelekezo ya wataalamu, hivyo ardhi nyingi imememezwa na huu ujenzi holela na kuharibu mandhari na maeneo ya maegesho.
Maendeleo yeyote yatakayofuata au kufanyika hapo, ni vizuri wawahusishe wataalamu wa usanifu majengo. Au waanze upya sehemu nyingine.
Ni sawa sawa na Uwanja wa Taifa inakuwa na viwanja viwili sehemu moja. Wakati wilaya zingine hakuna kitu au kuna sehemu nyingine kiwanja hicho kingefaa. Ikiwa wataalamu wangetumika. Mfano uwanja wa Uhuru ungebaki hapo, na uwanja wa Mkapa ukawa Kigamboni au sehemu nyingine.
Kule Chuo cha Muhimbili kumekuwa kuchafu sana au ndio majengo yamechakaa, biashara kila sehemu, kuko giza giza ambao ni dalili ya uchafu au kuwa na watu wengi sehemu ni ndogo.
Jingine wangefuata utaalamu ilikuwa ni kutumia ile ile plan ya Sewahaji, Kibasila, na Mwaisela ile lakini wangeenda juu, yaani wangeongeza ghorofa au kuwa na vunja jengo moja na kuweka jipya la ghorofa wanazoona zinafaa kwa mipango ya baadaye, kama 10, 14, n.k.
Hadi huyo mtu wake muhimbili anatangaza mwenyewe hakosi kujua huu uwendawazimu. Kama alikua hajaelewa hao wahuni wanamzunguka mpango wao basi asimamishe mpango huo wa kijinga wenye nia moja tu ya kupiga hela ya umma.Tusimlaumu Mama kwenye kila kitu huu utamaduni wa rushwa umeanza siku nyingi sana. Kwasababu kuna pesa za ujenzi siku hizi hata Uwanja wa Taifa tutasikia ubomolewe maana ujenzi ndiyo rushwa mpya Tanzania.
Shida hawa waswahili hua wanadhani wanajua sana kuliko wengine ila upigaji wao ni wa kijinga maana hawajali kuleta hasara kubwa kwa umma.Wacha wabomoe tu maana ni kuiboresha
huyo mbwa wenu ndio unamwita mzee? Mzee tunayemjua ni baba wa Taifa, siyo huyo shetani wako. Eti mzee bila aibu, mtu aliharibu nchi namna ile huna hata haya?Baadhi ya wakuu kwenye nchi hii, yawezekana walifurahia kifo cha MZEE.Ujinga kama huu usingekua unafanyika.
kwanza we siyo mtanzania, rudi kwenu we kimaNimeona aibu sana kuwa Mtanzania baada ya kumsikua Janabi akisema jambo hilo
Unapotoa contract una chako mkuu.Kwenye manunuzi una chako,amka mkuu.Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?
Muhimbili haijachakaa kihivyo mkuu,ikarabatiwe ipangiwa matumizi mengine,halafu itafutwe empty space ijengwe hospitali.Tuna hela ya kuharibu hivyo kweli,aibu sana.kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?
Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Nilivyokuja dar kwa mara ya kwanza, then nikapelekwa Muhimbili, naambiwa hapa ndio Muhimbili nikabaki nimetoa macho, siku nimeingia wodi ya kibasila ndio macho yalinitoka zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]Muhimbili ilikosewa kwa majengo mengi kuongezewa bila kufuata maelekezo ya wataalamu, hivyo ardhi nyingi imememezwa na huu ujenzi holela na kuharibu mandhari na maeneo ya maegesho.
Maendeleo yeyote yatakayofuata au kufanyika hapo, ni vizuri wawahusishe wataalamu wa usanifu majengo. Au waanze upya sehemu nyingine.
Ni sawa sawa na Uwanja wa Taifa inakuwa na viwanja viwili sehemu moja. Wakati wilaya zingine hakuna kitu au kuna sehemu nyingine kiwanja hicho kingefaa. Ikiwa wataalamu wangetumika. Mfano uwanja wa Uhuru ungebaki hapo, na uwanja wa Mkapa ukawa Kigamboni au sehemu nyingine.
Kule Chuo cha Muhimbili kumekuwa kuchafu sana au ndio majengo yamechakaa, biashara kila sehemu, kuko giza giza ambao ni dalili ya uchafu au kuwa na watu wengi sehemu ni ndogo.
Jingine wangefuata utaalamu ilikuwa ni kutumia ile ile plan ya Sewahaji, Kibasila, na Mwaisela ile lakini wangeenda juu, yaani wangeongeza ghorofa au kuwa na vunja jengo moja na kuweka jipya la ghorofa wanazoona zinafaa kwa mipango ya baadaye, kama 10, 14, n.k.
Hii awamu imejaa wajinga waliotokana na kuiba uchaguzi 2020,hivi kujenga hospitali ingine kubwa maeneo mengine hawaoni...huyo janaba nae walewaleKumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala.
Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwanini basi pasibakie kufanywa chuo cha afya na waongeze wanafunzi kwenye sehemu nyingine muhimu! Wenzetu wana hospital mpaka za makontena eti sisi tunalalamika majengo ni ya kizamani! Wakati tunategemea misaada kwenye dawa na chanjo.
Mtindo huu vilevile upo kwenye viwanja vya mpira na Zanzibar nako wanafanya haya.
View attachment 2714027
Una uhakika gani kwamba hiyo pesa itakayofanya shughuli hiyo ni ya kifisadi?. Wivu unatesa sana baadhi ya watanzania haswa awamu hii ya sita.Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala.
Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwanini basi pasibakie kufanywa chuo cha afya na waongeze wanafunzi kwenye sehemu nyingine muhimu! Wenzetu wana hospital mpaka za makontena eti sisi tunalalamika majengo ni ya kizamani! Wakati tunategemea misaada kwenye dawa na chanjo.
Mtindo huu vilevile upo kwenye viwanja vya mpira na Zanzibar nako wanafanya haya.
View attachment 2714027
Wanaishi na unyonge sana awamu hii. Hasira zimewajaa mpaka wanataka waandamane.kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?
Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Ni pale watu au Wana siasa watakapo amua kuwa wakweliTanzania kama mgonjwa wa goti anapasuliwa ubongo na mgonjwa wa ubongo anapasuliwa goti,ni wapi unaweza kukuta taasisi ya umma ina ufanisi!!??
Sisi tunaosoma Qur'an hayo mambo yao ya ki iblees hatuyashangai, aliyeitwa Adam kaumbwa kwa udongo mfinyanzi, maaana yake ni ule unaojenga. Na iblees tunasoma kuwa kaumbwa na moto, moto unateketeza.Wanaishi na unyonge sana awamu hii. Hasira zimewajaa mpaka wanataka waandamane.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilivyokuja dar kwa mara ya kwanza, then nikapelekwa Muhimbili, naambiwa hapa ndio Muhimbili nikabaki nimetoa macho, siku nimeingia wodi ya kibasila ndio macho yalinitoka zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]