Hivi ilikuwa ni lazima uchangie hapa?kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?
Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ilikuwa ni lazima uchangie hapa?kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?
Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Ni jengo gani limechoka muhimbili mama?kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?
Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Nimeona sehem mblmbl hosp, halmashauri zmejengw upya kw kutafta maeneo mapya na yale ya zman yakabdlishwa kuw ya hudma zngne... na maisha yakaendlea. Kwani ni lazm hosp. iitwe Muhimbili!? Kwni ni lzm Dr mkuu awe wa hosp. iitwayo Muhimbili?! Kw jins tunavokwnda, utaskia official residencies, shule zte za serkali, makao makuu ya hiki na kile yamepitw na wkt - kama vile ni majumba ya maonesho.Hiyo hela wangejenga hospital nyingine mpya
Kwenye ujenzi ndio sehemu ya upigaji mkubwa wa hela.Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?
Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwaninj basi pasibakie kufanywa chuo cha afya na waongeze wanafunzi kwenye sehemu nyingine muhimu?[emoji419][emoji375]Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala.
Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwaninj basi pasibakie kufanywa chuo cha afya na waongeze wanafunzi kwenye sehemu nyingine muhimu! Wenzetu wana hospital mpaka za makontena eti sisi tunalalamika majengo ni ya kizamani! Wakati tunategemea misaada kwenye dawa na chanjo.
Mtindo huu vilevile upo kwenye viwanja vya mpira na Zanzibar nako wanafanya haya.
View attachment 2714027
Kila jengo litakalobomolewa na kujengwa litazaa vijengo vingine mitaani. Hospitali ya Mbagala wameonesha njia ya upigaji, upigaji umeanza kwa kuchimba handaki kubwa kuonesha ujenzi unafanyika! Takukuru wamepekekwa huenda nao wakaongeza jeraha juu ya kidonda.Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?
Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala.
Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwaninj basi pasibakie kufanywa chuo cha afya na waongeze wanafunzi kwenye sehemu nyingine muhimu! Wenzetu wana hospital mpaka za makontena eti sisi tunalalamika majengo ni ya kizamani! Wakati tunategemea misaada kwenye dawa na chanjo.
Mtindo huu vilevile upo kwenye viwanja vya mpira na Zanzibar nako wanafanya haya.
View attachment 2714027
Hospitali ya Muhimbili ina miaka ngapi??kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?
Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?
Baadhi ya wakuu kwenye nchi hii, yawezekana walifurahia kifo cha MZEE.Ujinga kama huu usingekua unafanyika.
71b ni persent za watu.Nasikitika kwamba barsbara nyingi za upanga ni za vumbi na zina mavumbi na mashino hatari hatari...na hapo ni Karibu na CITY centre...
Maghorofa yake yanaficha mengi....hiv kwa nini wasitengeneza barabara qualitu na sidewalks upanga nzima...
Bado kuna nyaya za Tanesco zilizofungwa ovyo ovyo Dar city centre nzima...
Kusema ukweli Dar inasikitisha sana...city council sijui wanafanya nini....hadi kutumia Billion 71 kujenga magufuli stendi...wakati wangejenga stendi simple kama ile wanayojengwa mwemge ya billion 10...na billion 61 zikajenga na kumodify barabara za citu centre kwa kuziwekea sidewalks na mitaro...
NB..barabara nyingi za upanda ni dirt roads 90%...
Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?
umbea, wivu na roho mbaya ndio sifa kuu ya muafrica mmeliona la Prof janabi ila ikulu kujengwa Dodoma mmekaa kimya.Akili huna, usilaumiwe, kwa uwezo wako wa akili una hoja ya kusikilizwa, hakuna sababu ya kupuuzwa.