pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Sema tuacheni tupate ya kiwiMi naona mapichapicha tu, huyo kondakta aliyeshuka na hela yuko wapi? mijitu mingine mna roho mbaya hata pa kuanzia hamjui!! we kwako ni msafi sana? waacheni wapate ya kiwi
Sina hakika kama ni kweli.Ila kama ni kweli si kitu kizuri cha kushabikia. Imagine trafiki ameruhusu Dereva wa gari la abiria ambaye amelewa chakali kwa kupewa elfu mbili, halafu dereva akaingiza gari baharini, unadhani hiyo kiwi unayoipigia debe itakuwa na thamani kuliko roho za watu?Mi naona mapichapicha tu, huyo kondakta aliyeshuka na hela yuko wapi? mijitu mingine mna roho mbaya hata pa kuanzia hamjui!! we kwako ni msafi sana? waacheni wapate ya kiwi
Kitaa changu hiki darNjoo njia ya Mbezi - Goba asubuhi ushuhudie jinsi wanavyozikusanya shs 1500/- kwa kila daladala. Kuna sehemu pana msikiti wanapaita kwa Ulomi. Yaani mpaka raha. Daladala inapigwa mkono, konda anashuka fasta kashika buku abiria mnaona, kisha anarudi fasta. KAMA UNATAKA KUONA KONDAKTA ANASALIMIANA KWA VIGANJA NA TRAFIKI NJOO HUKU. HAWAOGOPI UVIKO-19
Kumbe huwaona washkaji wakikusanya mapato.Kitaa changu hiki dar
Mtazame mtu huyu!Tuache unafiki hakuna dereva asiyetoa kitu kidogo kwa traffic endapo anakutwa na kosa.
Hapa tunashadadia kisa tupo mtandaoni.
Sema sishindagi pale mkuuKumbe huwaona washkaji wakikusanya mapato.