sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kijana rijali kafika hadi miaka 30 asiwe na mwanamke, haiwezekani kabisa kwa kijana rijali mwenye afya, alie huru uraiani na anaingiza kipato asiwe na mwanamke, lakini ndio hapo sasa kuna utofauti wa waliooa na mabachela wazinzi waliokubuhu
Unakuta kijana wala hata haoni aibu anaishi na mwanamke tangu akiwa na miaka 25 hadi 30 ila hajamuoa, yeye wala haoni soo.
Wengine wanaendeleza lifestyle za kubadili badili tu wanawake, wiki hii huyu wiki ijayo yule.
Na tena hata isiwe kisingizio kwamba mahari ni kubwa au gharama za sherehe maana hata huko kwenye taasisi zenye ulaji kama TRA, BOT, NSSF, TANAPA, n,k. hii tabia ipo, kuna kaka na mdogo wake nawajua wapo humo mdogo alioa akiwa na 39 na kaka yake alioa akiwa na 43.
Kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu ?