Mtindo wa maisha unaomea kwa vijana rijali wa kikristo kufika hadi miaka 30 bila ndoa rasmi, kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kijana rijali kafika hadi miaka 30 asiwe na mwanamke, haiwezekani kabisa kwa kijana rijali mwenye afya, alie huru uraiani na anaingiza kipato asiwe na mwanamke, lakini ndio hapo sasa kuna utofauti wa waliooa na mabachela wazinzi waliokubuhu

Unakuta kijana wala hata haoni aibu anaishi na mwanamke tangu akiwa na miaka 25 hadi 30 ila hajamuoa, yeye wala haoni soo.

Wengine wanaendeleza lifestyle za kubadili badili tu wanawake, wiki hii huyu wiki ijayo yule.

Na tena hata isiwe kisingizio kwamba mahari ni kubwa au gharama za sherehe maana hata huko kwenye taasisi zenye ulaji kama TRA, BOT, NSSF, TANAPA, n,k. hii tabia ipo, kuna kaka na mdogo wake nawajua wapo humo mdogo alioa akiwa na 39 na kaka yake alioa akiwa na 43.

Kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu ?
 
Niliona kuna mtu mzito tu kaoa hadi ana miaka 40, huyu ana phd ya uzinzi
 
ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kijana rijali kafika hadi miaka 30 asiwe na mwanamke, haiwezekani kabisa kwa kijana rijali mwenye afya, alie huru uraiani na anaingiza kipato asiwe na mwanamke, lakini ndio hapo sasa kuna utofauti wa waliooa na mabachela wazinzi waliokubuhu

Unakuta kijana wala hata haoni aibu anaishi na mwanamke tangu akiwa na miaka 25 hadi 30 ila hajamuoa, yeye wala haoni soo.

Wengine wanaendeleza lifestyle za kubadili badili tu wanawake, wiki hii huyu wiki ijayo yule.

Kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu ?
Ndoa na misiba ya Kristo ni gharama sana na jambo hili ndilo linafanya vijana wasioe
 
Napingana na wewe, vijana hata wale ambao wapo taasisi nzuri tu kama TRA, BOT, Bandarini nao wameliunga humu.

Kuna kaka na mdogo sehemu hizo nimetaja, mdogo kaoa alipofika 39, mkubwa kaoa alipofika 43
 
Inategemeana na wachungaji wanaowachunga makanisani mwao. Zamani wachungaji hawakukubali kukaa na vijana wenye umri wa kuoa halafu hawaoi na si wanafunzi. Ilikuwa lazima wafanyiwe maombi wapate wachumba. Kundi kubwa la vijana wa kiume na kike walikuwa wanafanyiwa maombi ya kupata ndoa. Na ndoa walipata tena za wenzi wa kudumu
 
ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kijana rijali kafika hadi miaka 30 asiwe na mwanamke, haiwezekani kabisa kwa kijana rijali mwenye afya, alie huru uraiani na anaingiza kipato asiwe na mwanamke, lakini ndio hapo sasa kuna utofauti wa waliooa na mabachela wazinzi waliokubuhu

Unakuta kijana wala hata haoni aibu anaishi na mwanamke tangu akiwa na miaka 25 hadi 30 ila hajamuoa, yeye wala haoni soo.

Wengine wanaendeleza lifestyle za kubadili badili tu wanawake, wiki hii huyu wiki ijayo yule.

Na tena hata isiwe kisingizio kwamba mahari ni kubwa au gharama za sherehe maana hata huko kwenye taasisi zenye ulaji kama TRA, BOT, NSSF, TANAPA, n,k. hii tabia ipo, kuna kaka na mdogo wake nawajua wapo humo mdogo alioa akiwa na 39 na kaka yake alioa akiwa na 43.

Kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu ?
Ukristo siyo gereza Mtu ashindwe kufanya maamuzi binafsi kwaajili ya maisha yake.

Wapo Wakristo waliooa wakiwa na miaka 16 - 18 tena na wamebarikiwa kuwa na familia nzuri tu.

Ila kupanga ni kuchagua, labda Vijana hawajapata wanachoona kina unafuu na mapungufu yao kwa Mabinti basi hawana ulazima wa kuwahi inshu za ndoa maana majibu hutofautiana kupatikana kama ilivyo nyakati za kuzaliwa, kuishi na kufa.
 
Hivi karibuni kuna kwaya ilikuja kuimba kanisani kwetu nilishangaa mabinti wakubwa wakijinadi wanataka wachumba wa kuwaoa bila aibu, walikuwa wanasema jimbo liko wazi. Haikutosha ikabidi mchungaji wao aliyeongozana nao naye awasaidie kujinadi wapate wachumba. Na hii ilitokea wakati wa utambulisho wao wajitambulishe mpaka hali zao za ndoa wameolewa au hawajaolewa. Sijui nini kiliwafanya waondoe aibu ya kutaka waume wa kufunga nao ndoa mbele ya hadhara ya wauminini wengi bila woga na aibu
 
Muda wote huo anakuwa huru kuwa na mahusiano nje ya ndoa kufanya uzinzi tu, ndiicho unachomaanisha ?

Kwa hiyo inabidi aendelee kuchovya chovya hadi apate mwenye nafuu?
Si Kweli kuna Jamaa yangu hakuwahi kuendekeza uzinzi kabisa tangu azaliwe, alikuwa anaitwa "B" tukiwa naye chuoni hadi alipomazila kusoma ndiyo akaoa Mke na ndipo hapo alipoanzia inshu za kujamiiana.

Ukiwa mwenye uelewa utakubaliana na hili kuwa "Binadamu hatufanani tabia"

Ila sikuelewi unamaanisha uzinzi ni kwa Wakristo pekee, vipi Wapagani, Wahindi, Waislamu, Wabudhaa na Rastafarians?

Au unatumia kipimo kipi kudhihirisha ni Wakristo pekee wanaofanya uzinzi na si Watu wengine kabisa?
 
huyu jamaa mada zake nyingi anaendekeza udini sana na mara nyingi anaupromote uislam kuwa ndio sahihi.
 
Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kijana rijali kafika hadi miaka 30 asiwe na mwanamke, haiwezekani kabisa kwa kijana rijali mwenye afya, alie huru uraiani na anaingiza kipato asiwe na mwanamke, lakini ndio hapo sasa kuna utofauti wa waliooa na mabachela wazinzi waliokubuhu

Unakuta kijana wala hata haoni aibu anaishi na mwanamke tangu akiwa na miaka 25 hadi 30 ila hajamuoa, yeye wala haoni soo.

Wengine wanaendeleza lifestyle za kubadili badili tu wanawake, wiki hii huyu wiki ijayo yule.

Na tena hata isiwe kisingizio kwamba mahari ni kubwa au gharama za sherehe maana hata huko kwenye taasisi zenye ulaji kama TRA, BOT, NSSF, TANAPA, n,k. hii tabia ipo, kuna kaka na mdogo wake nawajua wapo humo mdogo alioa akiwa na 39 na kaka yake alioa akiwa na 43.

Kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu ?
Kwani Yesu alioa?
 
Ndoa na misiba ya Kristo ni gharama sana na jambo hili ndilo linafanya vijana wasioe
Mi ni mkristo ni mtu mzima, kuna rafiki yangu muislam alinishauri kama naona gharama za kufunga ndoa ni kubwa kwenye ukristo wangu nihamie kwenye uislam huko hakuna gharama kubwa, hata mahari inapangwa na binti. Aliniambia ukiwa na jambo hilo unamuona sheikh anakufungisha ndoa haraka huko msikitini, wahudhuriaji ni waumini utakaowakuta wakiswali. Kwa habari ya misosi kilo moja, mbili za mchele na maharage zinatosha
 
Hivi karibuni kuna kwaya ilikuja kuimba kanisani kwetu nilishangaa mabinti wakubwa wakijinadi wanataka wachumba wa kuwaoa bila aibu, walikuwa wanasema jimbo liko wazi. Haikutosha ikabidi mchungaji wao aliyeongozana nao naye awasaidie kujinadi wapate wachumba. Na hii ilitokea wakati wa utambulisho wao wajitambulishe mpaka hali zao za ndoa wameolewa au hawajaolewa. Sijui nini kiliwafanya waondoe aibu ya kutaka waume wa kufunga nao ndoa mbele ya hadhara ya wauminini wengi bila woga na aibu
Wanachagua sana LOTH HEMA
 
Ni kubaya,vijana wamegoma kuoa.
Na hii sio bongo tu, hata waliooa wanatembeq na dismissal ,ukizingua kidogo unatupwa nje.

Shida kubwa ni kwamba Yale ya ndoani wanayapata huko nje for free,sasa waoe ili iweje!

Jamani oeni vijana tusave kizazi chetu.
 
Ndoa na misiba ya Kristo ni gharama sana na jambo hili ndilo linafanya vijana wasioe
Sio kweli wengi wwmejitwalia wanawake bule na kuweka ndani kisha watakusanywa na viongozi wao wasio oa kubariki ndoa
 
UDINI UDINI UDINI.....

1. KUPATA MWEENZA SAHIHI WA MASIHA SI LELEMAMA.

2. KUOA LAZIMA UJIPANGE NA UJIKANE KUACHA MAMBO YOTE NA KUWA TAYARI KUITWA BABA SI MCHEZO.

3. NDOA SIO FASHION NI MALENGO ETI KWA SABABU FULANI AMEOA.

WAKRISTO TUNAOA MKE MMOJA SO LAZIMA TUWE MAKINI SANA KUFANYA MACHAGULIO.
 
Back
Top Bottom