Mtizamo huru

Mtizamo huru

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,707
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana, hawanaga scandal uchwara na wametulia wanafanya maisha yao...

Hakuna Tabia inayonikera kama hawa wadada wa mjini wanaojiita team Wema mara team kajala na team lulu.. Hivi hao watu wana tabia gani njema mpaka wawe na wafuasi?? Na hao wafuasi wana kazi za kufanya au ndo iyo ya kusifia na kutukanana huko instagram kutwa nzima?? Mbona sijawai sikia team kylin wala team sumari??? Niliingia huko instagram kwa mashinikizo kadhaa ila ilibidi niblock huo uchafu sijui wema, lulu block wote hao.. Hawana post za maana zaidi ya kupiga makalio yao na kuyaweka tuyasifie.. Shupid

Naomba kuwasilisha...
 
ila mleta uzi jamani watajwa hapo juu wa3 wasio na team na wa3 wenye team huwezi waweka kwenye category moja kwa sababu moja ya msingi, wasiokuwa na team kwanza ni maMrs tena wa waheshimiwa wakubwa mno katika hii nchi sina uhakika na nancy tho.
 
Hata hao uliowataja wana matatizo yao...sema tu wameamua kupunguza speed
 
Watu kama Wema wamewainspire watu wengi haswa class 7 na form 4 leaver kuwa papuchi inaweza ikakufanya uishi maisha yao ya maono.
Enough said, well put. yaani hii movement yoote is about that realization kwamba if wema did it they can do it. wema is a supreme role model to the dumb and failure girls from all over uswazi. japo mafanikio yake ni ya upepo still wanakuwa inspired.
 
Hahahaha well said mkuu.. Avatar yako na jina vimenikosha sana haha
 
Hivi kukwapua waume za watu sio scandal eeeh?????? Muondoe Kota

Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana, hawanaga scandal uchwara na wametulia wanafanya maisha yao...

Hakuna Tabia inayonikera kama hawa wadada wa mjini wanaojiita team Wema mara team kajala na team lulu.. Hivi hao watu wana tabia gani njema mpaka wawe na wafuasi?? Na hao wafuasi wana kazi za kufanya au ndo iyo ya kusifia na kutukanana huko instagram kutwa nzima?? Mbona sijawai sikia team kylin wala team sumari??? Niliingia huko instagram kwa mashinikizo kadhaa ila ilibidi niblock huo uchafu sijui wema, lulu block wote hao.. Hawana post za maana zaidi ya kupiga makalio yao na kuyaweka tuyasifie.. Shupid

Naomba kuwasilisha...

Hao team upuuzi wa huku IG wanatokana na ukosefu wa ajira bin u-jobless
 
Back
Top Bottom