Mtizamo wa Spika kuhusu hukumu ya mahakama na kile ninachokiona

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo;
1. Spika alikuwa akifanya kazi ya kutafsiri sheria, kazi ambayo hufanywa na mhimili wa mahakama. Kazi yake alisema ni kutunga

2. Spika hakuwa na sababu ya kuwa msemaji wa serikali. Msemaji yupo, naye ni ndugu Msigwa.

3. Tukisema Bunge ndilo linatunga sheria, kiukweli sidhani. Pengine waseme bunge linaletewa miswada toka vyanzo mbalimbali na kuipitisha kuwa sheria. Hivyo tuseme Bunge linapitisha Miswada.

4. Tukitaka pawe na chombo cha kutunga sheria, basi lisiwe Bunge hili. Pawepo na Bunge maalum au chombo maalum cha kufanya hiyo kazi.

5. Spika kutoa tafsiri yake kuhusiana na hukumu ya mahakama tunaita logical fallacy - Straw Man. Anaipotosha hoja ya mahakama kisha anaishambulia hoja iliyopotoshwa.

6. Hoja ya Spika ni kwamba Rais ana nguvu kwa kuwa ni Rais (Circular reasoning). Katiba inatuambia hakuna aliye juu ya sheria.

7. Tujadili namna ya kutimiza hukumu ya mahakama na sio ni kwa kiasi gani Rais ni kiongozi wa serikali na wakati huo ni mkuu wa nchi

8. Tukipenda kutetea hoja basi tuwe objective (no strings attached), maana itafika wakati hatumpendi kiongozi fulani lakini tutamtetea kulingana na katiba inavyotaka.
 
Spika bado ni mtoto mdogo..hakustahili na bado hastahili kushika hiyo nafasi, tone yake na body language vinathibitisha hilo! Waliomuweka lengo lao ni iwe rahisi kwao kulicontrol bunge na hivyo wananchi kwa ujumla vile wanataka wao..
Muhimu atambue mipaka yake kwa ajili ya kutekeleza wajibu kwenye mhimili wake anaouongoza
 
Rais ni constitutional officer. Hwezi kuwa juu ya sheria!
 
Ni kweli kabisa!! Spika Tulia anao uwezo wa kumchallenge Prof. Issa Shivji,?
Hoja alizotoa za kuwashangaa wananchi waliofurahia hukumu ya mahakama ya rufaa,kwa upande wa wanasheria, niliyemsikia wazi ni Prof Shivji akiwapongeza majaji kwa uamuzi wa kihistoria, hata naye ni mbumbumbu wa sheria!!!
Akakae bungeni na kina Msukuma na type za hao wengi halafu ajivunie ametunga sheria ya maana sana!!!
Huyu dada kweli kama ni chawa basi ni aibu kubwa kwa wasomi wa kiwango chake.
Kwa hiyo kwa maoni yake na akili zake, bunge litakaa kutunga sheria nyingine kupingana na hukumu hii?
Mbona ni kama wabinafsi sana hawa!!!
Umri wa kuishi wa mwanadamu ni miaka mingapi?
Nao watakuwepo kuona madhara ya ujinga wanaoufanya leo huko mbele?
 
Tatizo lile jengo linalevya sana. Ukitizama Bunge la kenya au Uingereza jinsi walivyoshonana hadi kero fulani. Hapa kwetu jengo la kifahari sana kiasi cha kufanya kila anayeingia kutaka kudumu huko. Yupo mbunge mmoja mwanamke katika kuchangia na ugeni wake alisema kwa jinsi Bunge lilivyo la kuvutia unaweza kuua mtu ilimradi uendelee kuwa mbunge. Ukichanganya hilo na posho wanazopata na provillages wanazopendekeza, wakifikiria huku uraiani, basi wanasahau utu
 
Hivi ni sawa kumpa sifa kede kede Msomi ambaye ni kweli kapata credentials lakini hajawahi kutumia elimu/taaluma yake kuisaidia jamii kwa kipindi kisichopungua miaka 5!? Binafsi kwangu mimi naona ni unafiki na Uwekezaji uliopotea Bure... huwezi kuwa na Elimu kubwa na nzuri inayoeleweka na ukaamua kukimbilia nafasi za uteuzi au za kisisasa kabla hujatumia Elimu yako kwenye Field...Jamii Haina budi kuacha kuwatambua kwa Elimu zao mfu..na watambuliwe kwa walifanyalo Katika jamii..kama professor hajafanya Kazi ya kitaaluma na akaamua kukimbilia Kwenye siasa, basi aitwe jina lake kavu na tuache kumpa titles ambazo hajazitumikia... nadhan nimeeleweka.
 
Spika bado ni mtoto mdogo..hakustahili na bado hastahili kushika hiyo nafasi, tone yake na body language vinathibitisha hilo! Waliomuweka lengo lao ni iwe rahisi kwao kulicontrol bunge na hivyo wananchi kwa ujumla vile wanataka wao..
Age?
 
Usisahau kapigiwakura! Na Rais kapigiwa kuraya Ubunge lakini Jimbo lake ni Tanzania yote Bara na Visiwani. Jaji jajapigiwa kura na mtu ueyotena hawajibiki kwa mtu yeyote. Rais ni Mkuu wa Nchi,yaanimkuu wa Spika, wa Mahakama na wa Serkali. Kuna Mihimili 4 lakini Rais kama Mkuu wa Nchi anasimamia Mihimili yote mitatu iliyobaki.
 
Wabunge wote waliteuliwa na marehemu magufuli hawana sifa za kutetea maslahi ya wananchi wao ni wabunge wa viti maalum wanatetea maslahi ya aliye wateuwa.

Ni kujipotezea muda kufikiri sheria ziwe na maslahi ya umma.

Spika anapotetea sheria kuilinda serikali, inakinzana na wajibu wa bunge kuiwajibisha serikali.

Ndio maana Serikali inampongeza.
 
Usisahau kapigiwakura! Na Rais kapigiwa kuraya Ubunge lakini Jimbo lake ni Tanzania yote Bara na Visiwani. Jaji jajapigiwa kura na mtu ueyotena hawajibiki kwa mtu yeyote. Rais ni Mkuu wa Nchi,yaanimkuu wa Spika, wa Mahakama na wa Serkali. Kuna Mihimili 4 lakini Rais kama Mkuu wa Nchi anasimamia Mihimili yote mitatu iliyobaki.
Tukienda kimantiki na kikatiba, wananchi ndio serikali na ndio wanasimamia mihimili yote iwayo
 
Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo;
1. Spika alikuwa akifanya kazi ya kutafsiri sheria, kazi ambayo hufanywa na mhimili wa mahakama. Kazi yake alisema ni kutunga

2. Spika hakuwa na sababu ya kuwa msemaji wa serikali. Msemaji yupo, naye ni ndugu Msigwa.

3. Tukisema Bunge ndilo linatunga sheria, kiukweli sidhani. Pengine waseme bunge linaletewa miswada toka vyanzo mbalimbali na kuipitisha kuwa sheria. Hivyo tuseme Bunge linapitisha Miswada.

4. Tukitaka pawe na chombo cha kutunga sheria, basi lisiwe Bunge hili. Pawepo na Bunge maalum au chombo maalum cha kufanya hiyo kazi.

5. Spika kutoa tafsiri yake kuhusiana na hukumu ya mahakama tunaita logical fallacy - Straw Man. Anaipotosha hoja ya mahakama kisha anaishambulia hoja iliyopotoshwa.

6. Hoja ya Spika ni kwamba Rais ana nguvu kwa kuwa ni Rais (Circular reasoning). Katiba inatuambia hakuna aliye juu ya sheria.

7. Tujadili namna ya kutimiza hukumu ya mahakama na sio ni kwa kiasi gani Rais ni kiongozi wa serikali na wakati huo ni mkuu wa nchi

8. Tukipenda kutetea hoja basi tuwe objective (no strings attached), maana itafika wakati hatumpendi kiongozi fulani lakini tutamtetea kulingana na katiba inavyotaka.
Nilivyomuelewa mimi ni kama anasema msifurahie huo ushindi, sisi tuna namna ya kuja na maamuzi na kurudisha hicho ambacho mahakama imeamua kukikataa.
Ni kama anataka kuhakikishia mbele ya rais na wengine kuwa wasiwe na hofu hizo kinga zitarudishwa yeye yupo gado.
 
Back
Top Bottom