Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Muhimu atambue mipaka yake kwa ajili ya kutekeleza wajibu kwenye mhimili wake anaouongozaSpika bado ni mtoto mdogo..hakustahili na bado hastahili kushika hiyo nafasi, tone yake na body language vinathibitisha hilo! Waliomuweka lengo lao ni iwe rahisi kwao kulicontrol bunge na hivyo wananchi kwa ujumla vile wanataka wao..
..mtoto anaweza tambua mipaka yake?si umeona ameshindwa kutambua na si mara ya kwanza.Muhimu atambue mipaka yake kwa ajili ya kutekeleza wajibu kwenye mhimili wake anaouongoza
Hahahaa... mtoto wa mama. Bunge linaisha tutakutana nao site..mtoto anaweza tambua mipaka yake?si umeona ameshindwa kutambua na si mara ya kwanza.
Rais ni constitutional officer. Hwezi kuwa juu ya sheria!Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo;
1. Spika alikuwa akifanya kazi ya kutafsiri sheria, kazi ambayo hufanywa na mhimili wa mahakama. Kazi yake alisema ni kutunga
2. Spika hakuwa na sababu ya kuwa msemaji wa serikali. Msemaji yupo, naye ni ndugu Msigwa.
3. Tukisema Bunge ndilo linatunga sheria, kiukweli sidhani. Pengine waseme bunge linaletewa miswada toka vyanzo mbalimbali na kuipitisha kuwa sheria. Hivyo tuseme Bunge linapitisha Miswada.
4. Tukitaka pawe na chombo cha kutunga sheria, basi lisiwe Bunge hili. Pawepo na Bunge maalum au chombo maalum cha kufanya hiyo kazi.
5. Spika kutoa tafsiri yake kuhusiana na hukumu ya mahakama tunaita logical fallacy - Straw Man. Anaipotosha hoja ya mahakama kisha anaishambulia hoja iliyopotoshwa.
6. Hoja ya Spika ni kwamba Rais ana nguvu kwa kuwa ni Rais (Circular reasoning). Katiba inatuambia hakuna aliye juu ya sheria.
7. Tujadili namna ya kutimiza hukumu ya mahakama na sio ni kwa kiasi gani Rais ni kiongozi wa serikali na wakati huo ni mkuu wa nchi
8. Tukipenda kutetea hoja basi tuwe objective (no strings attached), maana itafika wakati hatumpendi kiongozi fulani lakini tutamtetea kulingana na katiba inavyotaka.
Kuna tofauti kati ya kuwa kiongozi wa nchi na kiongozi wa serikali?Rais ni constitutional officer. Hwezi kuwa juu ya sheria!
Ni kweli kabisa!! Spika Tulia anao uwezo wa kumchallenge Prof. Issa Shivji,?Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo;
1. Spika alikuwa akifanya kazi ya kutafsiri sheria, kazi ambayo hufanywa na mhimili wa mahakama. Kazi yake alisema ni kutunga
2. Spika hakuwa na sababu ya kuwa msemaji wa serikali. Msemaji yupo, naye ni ndugu Msigwa.
3. Tukisema Bunge ndilo linatunga sheria, kiukweli sidhani. Pengine waseme bunge linaletewa miswada toka vyanzo mbalimbali na kuipitisha kuwa sheria. Hivyo tuseme Bunge linapitisha Miswada.
4. Tukitaka pawe na chombo cha kutunga sheria, basi lisiwe Bunge hili. Pawepo na Bunge maalum au chombo maalum cha kufanya hiyo kazi.
5. Spika kutoa tafsiri yake kuhusiana na hukumu ya mahakama tunaita logical fallacy - Straw Man. Anaipotosha hoja ya mahakama kisha anaishambulia hoja iliyopotoshwa.
6. Hoja ya Spika ni kwamba Rais ana nguvu kwa kuwa ni Rais (Circular reasoning). Katiba inatuambia hakuna aliye juu ya sheria.
7. Tujadili namna ya kutimiza hukumu ya mahakama na sio ni kwa kiasi gani Rais ni kiongozi wa serikali na wakati huo ni mkuu wa nchi
8. Tukipenda kutetea hoja basi tuwe objective (no strings attached), maana itafika wakati hatumpendi kiongozi fulani lakini tutamtetea kulingana na katiba inavyotaka.
Tatizo lile jengo linalevya sana. Ukitizama Bunge la kenya au Uingereza jinsi walivyoshonana hadi kero fulani. Hapa kwetu jengo la kifahari sana kiasi cha kufanya kila anayeingia kutaka kudumu huko. Yupo mbunge mmoja mwanamke katika kuchangia na ugeni wake alisema kwa jinsi Bunge lilivyo la kuvutia unaweza kuua mtu ilimradi uendelee kuwa mbunge. Ukichanganya hilo na posho wanazopata na provillages wanazopendekeza, wakifikiria huku uraiani, basi wanasahau utuNi kweli kabisa!! Spika Tulia anao uwezo wa kumchallenge Prof. Issa Shivji,?
Hoja alizotoa za kuwashangaa wananchi waliofurahia hukumu ya mahakama ya rufaa,kwa upande wa wanasheria, niliyemsikia wazi ni Prof Shivji akiwapongeza majaji kwa uamuzi wa kihistoria, hata naye ni mbumbumbu wa sheria!!!
Akakae bungeni na kina Msukuma na type za hao wengi halafu ajivunie ametunga sheria ya maana sana!!!
Huyu dada kweli kama ni chawa basi ni aibu kubwa kwa wasomi wa kiwango chake.
Kwa hiyo kwa maoni yake na akili zake, bunge litakaa kutunga sheria nyingine kupingana na hukumu hii?
Mbona ni kama wabinafsi sana hawa!!!
Umri wa kuishi wa mwanadamu ni miaka mingapi?
Nao watakuwepo kuona madhara ya ujinga wanaoufanya leo huko mbele?
Age?Spika bado ni mtoto mdogo..hakustahili na bado hastahili kushika hiyo nafasi, tone yake na body language vinathibitisha hilo! Waliomuweka lengo lao ni iwe rahisi kwao kulicontrol bunge na hivyo wananchi kwa ujumla vile wanataka wao..
Sure..Age?
Sio mdogo kivile ni uchawa tu!Sure..
Tukienda kimantiki na kikatiba, wananchi ndio serikali na ndio wanasimamia mihimili yote iwayoUsisahau kapigiwakura! Na Rais kapigiwa kuraya Ubunge lakini Jimbo lake ni Tanzania yote Bara na Visiwani. Jaji jajapigiwa kura na mtu ueyotena hawajibiki kwa mtu yeyote. Rais ni Mkuu wa Nchi,yaanimkuu wa Spika, wa Mahakama na wa Serkali. Kuna Mihimili 4 lakini Rais kama Mkuu wa Nchi anasimamia Mihimili yote mitatu iliyobaki.
Unaweza kuwa kiongozi wa Serikali bila kuwa kiongozi wa nchi!Kuna tofauti kati ya kuwa kiongozi wa nchi na kiongozi wa serikali?
Nilivyomuelewa mimi ni kama anasema msifurahie huo ushindi, sisi tuna namna ya kuja na maamuzi na kurudisha hicho ambacho mahakama imeamua kukikataa.Juzi hapa dada yetu Tulia Ackson Mwansasu alizungumza kwa kujiamini mbele ya Rais na viongozi wakuu wa serikali ikijumuisha uwepo wa mihilimi yote mitatu rasmi ( na Media). Spika akiwashangaa wanaoshangilia hukumu ya mahakama. Hiki ndicho ninachokiona kwa uelewa wangu wa hivyo hivyo;