Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
- Thread starter
-
- #21
Sasa bora wangeenda kuzungumzia kwenye hizo sijui wanaita kokas. Pale hadharani ilionyesha dharau ya wazi kwa mahakamaNilivyomuelewa mimi ni kama anasema msifurahie huo ushindi, sisi tuna namna ya kuja na maamuzi na kurudisha hicho ambacho mahakama imeamua kukikataa.
Ni kama anataka kuhakikishia mbele ya rais na wengine kuwa wasiwe na hofu hizo kinga zitarudishwa yeye yupo gado.
Sawa, ila kuwa kiongozi wa nchi haimaanishi kuwa na mamlaka juu ya mihimili mingine. Spika hapa anatuambia kuwa Bunge lake haliwezi kutokiwa na imani na Rais, hivyo haliwezi kumuwajibisha Rais. Kadhalika Bunge lake haliwezi kutunga au kupitisha muswada wa kumuondolea Rais kinga ya kutoshtakiwaUnaweza kuwa kiongozi wa Serikali bila kuwa kiongozi wa nchi!
Kiongozi wa nchi ni mmoja tu kwa wakati mmoja.
Sidhani kama wanajali hilo. Anahakikisha ule msemo wa mhimili uliojichimbia.Sasa bora wangeenda kuzungumzia kwenye hizo sijui wanaita kokas. Pale hadharani ilionyesha dharau ya wazi kwa mahakama
Spika wa bunge la ccm atakupotosha... Walahu aliyejitahidi ni Samwel SItta lakini naye walimpoteza!Sawa, ila kuwa kiongozi wa nchi haimaanishi kuwa na mamlaka juu ya mihimili mingine. Spika hapa anatuambia kuwa Bunge lake haliwezi kutokiwa na imani na Rais, hivyo haliwezi kumuwajibisha Rais. Kadhalika Bunge lake haliwezi kutunga au kupitisha muswada wa kumuondolea Rais kinga ya kutoshtakiwa
Walipoona anawaharibia wakasema ni zamu ya wanawake. Angalau naye Makinda alijitahidiSpika wa bunge la ccm atakupotosha... Walahu aliyejitahidi ni Samwel SItta lakini naye walimpoteza!
Hapa sasa kuna mkanganyiko. Kama ni serikali, Tulia alisema Rais kama kiongozi wa serikali yupo ndani ya ile mihimili mitatu. Kama ni kiongozi wa nchi, hakuna huo mhimili. Hivyo hakuna mhimili uliojichimbiaSidhani kama wanajali hilo. Anahakikisha ule msemo wa mhimili uliojichimbia.