Mtizamo: Wachezaji wa Simba wametuchelewesha sana Taifa stars

Tunajaribu Saana Kuwafunika funika Wana Utopolo Lkn Waaapi Lazima Mjionyeshe Kuwa Nyie ni Hamnazo..!

Manara Aliimaliza Kesi Yenu.!
Wenye Akili hawazidi Wawili huko
Akili ya kubeba makombe!
 
Serious kabisa mtu anaanzisha uzi kama huu,nchi ina safari ndefu sana.
Acheni usimba na uyanga.
Lofa huyo. Si wa upande ule ambako wenye akili ni wawili tu. Usishangae kusema hayo. Hayuko peke yake, soon utauona mnyororo wao wote wakisema kitu kimoja hicho hicho. Ushamba bwana kitu kibaya sama.
 
Acha ayaoge ameyataka mwenyewe nadhani angekuwa wa Simba pia angeongea huu upupu angeyaoga..
 
Manara alikuwa sahihi, na bado yuko sahihi.

Hapo yanga ni mzee kikwete na Sunday manara tu.

Wengine woote plus mtoa post nati zilifyatuka kitambo
 
Simu ni yako,,, maoni ni yako,,,bando la kwako,,maisha ni yako,,,Sisi ni kina Nani tukupangie,,,endelea tu na utaratibu wako!!
 
Tukiwasema yule mzee wenu anapanic ..

Eti ni usalama wa taifa anaweza kufika ikulu anything anytime....kwa panic mpaka anakosea kingereza
 
Matusi ni kitu pekee kimebaki kwa Makolo hivyo waje tu maana sisi Yanga tuna makombe hata watukane Ukweli wanaujua!
Masikini akipata makalio hulia mbwata.
Kipofu kaona mwezi......
Hivi maneno ya Haji ni kweli eee!!! Hawazidi wawili wengine wote weupeeeπŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Acha ayaoge ameyataka mwenyewe nadhani angekuwa wa Simba pia angeongea huu upupu angeyaoga..
Mtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.
 
Sio muhimu sana mkuu.Mchezaji yeyote anayevaa bendera ni mali ya taifa bila kuangalia club after all huko tumeshahama kitambo
 
Mtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.
Nakupenda mtani wangu Bantu Lady .. ila huyu mwache tuu ayaoge my dear...huyu nyuzi zake huwa ni za kukera...
Ni kweli ya wazazi hayana afya ila ya kumchamba yeye wacha achambwe..
 
Mashabiki wa yanga bila kuondoa huo mwiko huko nyuma mtaendelea kuwa na akili za kiupinde upinde kama hivi.
Kimoyo moyo unakubari jinsi wananchi wanavyocheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…