Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Akili ya kubeba makombe!Tunajaribu Saana Kuwafunika funika Wana Utopolo Lkn Waaapi Lazima Mjionyeshe Kuwa Nyie ni Hamnazo..!
Manara Aliimaliza Kesi Yenu.!
Wenye Akili hawazidi Wawili huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ya kubeba makombe!Tunajaribu Saana Kuwafunika funika Wana Utopolo Lkn Waaapi Lazima Mjionyeshe Kuwa Nyie ni Hamnazo..!
Manara Aliimaliza Kesi Yenu.!
Wenye Akili hawazidi Wawili huko
Lofa huyo. Si wa upande ule ambako wenye akili ni wawili tu. Usishangae kusema hayo. Hayuko peke yake, soon utauona mnyororo wao wote wakisema kitu kimoja hicho hicho. Ushamba bwana kitu kibaya sama.Serious kabisa mtu anaanzisha uzi kama huu,nchi ina safari ndefu sana.
Acheni usimba na uyanga.
Acha ayaoge ameyataka mwenyewe nadhani angekuwa wa Simba pia angeongea huu upupu angeyaoga..Nyie mnaotukana hadi wazazi wa mtu, mnakosea sana. Aliyeandika hapa ni mzazi wake?
Mambo ya ushabiki yasifike kutoa utu wa mtu, hata kama unatumia ID fake.
Kutukana siyo kwamba ujanja. Ni ukosefu wa heshima na akili.
Jibu hoja kwa ushabiki aliouandika si matusi.
Masikini akipata makalio hulia mbwata.Matusi ni kitu pekee kimebaki kwa Makolo hivyo waje tu maana sisi Yanga tuna makombe hata watukane Ukweli wanaujua!
Mtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.Acha ayaoge ameyataka mwenyewe nadhani angekuwa wa Simba pia angeongea huu upupu angeyaoga..
Sio muhimu sana mkuu.Mchezaji yeyote anayevaa bendera ni mali ya taifa bila kuangalia club after all huko tumeshahama kitamboKama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:
1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika mechi ya Leo Kwa taifa stars
2. Kwa kujituma Kwa hawa wachezaji wa Yanga sina wasiwasi hata pale kocha atabeba kikosi chote Cha Yanga kucheza taifa stars ukiondoa wachezaji wa kigeni
3. Kuna watu walitamani tupoteze mchezo huu.......lkn wananchi wametuokoa.... performance kali ya mudathir + Dickson job ......na wengine wananchi by origin kama msuva
NB: kocha ikikupendeza toa wachezaji wote wa kolo FC except manula
View attachment 2564127
Nakupenda mtani wangu Bantu Lady .. ila huyu mwache tuu ayaoge my dear...huyu nyuzi zake huwa ni za kukera...Mtani kuyaoga yeye ni sawa, si kuingiza mzazi. Mambo ya ushabiki kutukana wazazi si sawa. Hata matusi si sawa. Kuna maneno mengi ya kishabiki, unaweza yatoa na yakamuingia.
Hao hao walianzisha nyuzi za kuishabikia Uganda kisa Feisal kaitwa kwny kikosi...Aisee nimeamini Yanga ndo wanahatibu soka LA Tanzania.
Sawa mtani nami nilivyosoma, nikajua leo hapakuchi leo. Labani og kazi kwako 😂😂😂😂😂Nakupenda mtani wangu Bantu Lady .. ila huyu mwache tuu ayaoge my dear...huyu nyuzi zake huwa ni za kukera...
Ni kweli ya wazazi hayana afya ila ya kumchamba yeye wacha achambwe..