kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
da!!!Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo.
Soma Pia: Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba
Chanzo: Azam TV
Ndo mana wazazi hususan akina mama TUNAASWA sana sana tusiwape watoto wetu simu esp.smartphone kama kitu cha kuchezea au kuwabembeleza wasilie. Akina baba tunaombwa sana tuwasimamie akina mama wake/wapenzi wetu ili waache tabia hiyo ya kizembe. Ina madhara makubwa mno mbeleni.P*rn*graphy zina madhara hayo ya kupoteza "A Moral Compass of life" of someone
Hapana. Ila kwa tendo hilo mmechafuliwa sana.Kwahio sisi tunaoishi huku ni wanyama?!
Sidhani hata kidogo. Tafuta sababu nyingine. Kwani huyo mtoto(marehemu kwa sasa) hana wazazi??. Inakuwaje mtoto wako awe nje uck halafu ww mzazi hustuki wala huhangaiki kumfatilia? Tafakari na tuone uzembe ........Ni kweli tamu sana ..ushirikina umehusika🥺
HAPANA - unaweza kuthibitisha hilo? Kwa nini isiwe ni (1)uzembe wa wazazi (2) madawa ya kulevya(esp. Bhangi) (3) Chizi/Kichaa n.k. n.k.Ushirikina
Kikulacho ki nguoni mwako.Nimepatwa na hasira kupindukia. Hivi unabaka mtoto wa miaka 5 kweli hata huruma huna kabisa?
Ndiyo kabisa.Sometimes watu kama hao wakiuawa na wananchi wenye hasira kali ni sahihi kabisa.
Kinachotisha ni kwamba,
Walau tunaweza kuyapunguza matukio haya kwa kuwajibika sisi watu wazima hususan wazazi. Wazazi tuwe makini mno juu ya Usalama wa watoto wetu.ukifikiria tunawezaje kuzuia haya matukio unakosa majibu.
Hapana. Sio lazima kila kijana hapo mtaani awe na demu. Labda kama kuna kijana/vijana wanaodhaniwa kutokana na Tabia zao za Ufuska uliokubuhu.Mbakaji ni jirani yao. Kijana asiye na demu mtaani kwao adakwe
Ndio kabisa.. uisilam unasema "Hifadhini tupu zenu"Ndo mana wazazi hususan akina mama TUNAASWA sana sana tusiwape watoto wetu simu esp.smartphone kama kitu cha kuchezea au kuwabembeleza wasilie. Akina baba tunaombwa sana tuwasimamie akina mama wake/wapenzi wetu ili waache tabia hiyo ya kizembe. Ina madhara makubwa mno mbeleni.
Yeah. Kutokana na wazazi kupuuzia kutoa elimu hiyo, cku hizi mtoto haoni aibu kutamka jina halisi la tupu yake au kuonesha tupu yake. Inakwenda ndani zaidi anapopata kuona yanayotendeka (matumizi) kupitia vid.clips za mitandaoni kwenye smartphone. Na kama ilivyo ni kawaida ya mtoto yeyote huwa anapenda kujaribu kila anachoona. Hapo ndo majanga.Ndio kabisa.. uisilam unasema "Hifadhini tupu zenu"
SanaDuh..
Inasikitisha...
Ova