Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

P*rn*graphy zina madhara hayo ya kupoteza "A Moral Compass of life" of someone
Ndo mana wazazi hususan akina mama TUNAASWA sana sana tusiwape watoto wetu simu esp.smartphone kama kitu cha kuchezea au kuwabembeleza wasilie. Akina baba tunaombwa sana tuwasimamie akina mama wake/wapenzi wetu ili waache tabia hiyo ya kizembe. Ina madhara makubwa mno mbeleni.
 
Ni kweli tamu sana ..ushirikina umehusika🥺
Sidhani hata kidogo. Tafuta sababu nyingine. Kwani huyo mtoto(marehemu kwa sasa) hana wazazi??. Inakuwaje mtoto wako awe nje uck halafu ww mzazi hustuki wala huhangaiki kumfatilia? Tafakari na tuone uzembe ........
 
Kinachotisha ni kwamba,

ukifikiria tunawezaje kuzuia haya matukio unakosa majibu.
Walau tunaweza kuyapunguza matukio haya kwa kuwajibika sisi watu wazima hususan wazazi. Wazazi tuwe makini mno juu ya Usalama wa watoto wetu.
1. Mtoto awe nyumbani mapema saa 12 jioni mwisho.Tofauti na hapo mzazi anza harakati za kumfatilia alipo na anafanya nini. Haya mazoea ya eti yuko hapo kwa jirani anacheza tuachane nayo kabisa. Kwani hapo kwako hawezi kucheza?
2. Wazazi tuione thamani ya mtoto. Inakuwaje mtoto uliyemzaa kwa uchungu kiasi hicho unamwacha azagae mtaani? tena uck? eti yuko na wenzake- una uhakika? Wazazi tujitahidi kuwafundisha watoto kutokupokea vijizawadi e.g pipi, juisi au kubebwa n.k. kutoka kwa watu asiowafahamu/asiowajua. Akatae na ikiwezekana apige kelele kali kuomba msaada.
Halafu kuna hii tabia ya kijinga ya mdada wa nyumbani au dada wa kawaida kumbeba au kuongozana na mtoto barabarani au hapo barazani nje eti ananisindikiza au hataki kubaki nyumbani. Iachwe au tuepukane nayo. Vishawishi kwa huyo dada aliye naye mtoto wako ni vingi na mara nyingi wadada ni wazembe kuliko maelezo.
 
Ndo mana wazazi hususan akina mama TUNAASWA sana sana tusiwape watoto wetu simu esp.smartphone kama kitu cha kuchezea au kuwabembeleza wasilie. Akina baba tunaombwa sana tuwasimamie akina mama wake/wapenzi wetu ili waache tabia hiyo ya kizembe. Ina madhara makubwa mno mbeleni.
Ndio kabisa.. uisilam unasema "Hifadhini tupu zenu"
 
Ndio kabisa.. uisilam unasema "Hifadhini tupu zenu"
Yeah. Kutokana na wazazi kupuuzia kutoa elimu hiyo, cku hizi mtoto haoni aibu kutamka jina halisi la tupu yake au kuonesha tupu yake. Inakwenda ndani zaidi anapopata kuona yanayotendeka (matumizi) kupitia vid.clips za mitandaoni kwenye smartphone. Na kama ilivyo ni kawaida ya mtoto yeyote huwa anapenda kujaribu kila anachoona. Hapo ndo majanga.
 
Watu watambue tu huku uraiani tunaishi na mapedophile

Ova
 
Back
Top Bottom