Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Mpaka inakuwa hivi baba wa huyo jamaa yuko wapi? Ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa.
 
mweeeh!Hii ni ngumu kumeza aise
 
kuna imani za kishirikina sio bure yaani mtu alale na mama yake kwa miaka 10, halafu age difference nayo......
 
Sijakuona siku nyingi dada..ulikuwa wapi?..


Nashukuru kwa kuni acknowledge tedo... Mambo tu ya nje ya jf yalibana ila sasa nipo hapa. Mzima wewe? Unasemaje kuhusu hii topic juu maana mie nimeishiwa maneno.
 
naomba kujuzwa, hivi hawa ndio wale wa Zimbabwe maana nakumbuka kuona hii stori b4 hapa jf au ni wengine?
 
MUNGU WETU ATUHURUMIE!!! speechless! TUFIAKWA!!! THIS IS AN ABNOMINATION OF THE HIGHEST ORDER!!
 
sasa huyo jamaa angezaa na mama yake ambae ni mkewe huyo mtoto wake angemuita mdogo wake au ni mtoto wake na mama yake ambaye ni mke wake angemuita huyo mtoto ni mtoto wake au mjukuu wake? :biggrin1:
 
Loading.........................................................................................................................:A S 465:
 
Hapa sijui nani alianza kumtokea mwenzie i mean kutongoza.
Kama lilianza jamaa nahisi lilianza kiutani utani "....maza dingi alikuwa anakufaidi..'' eti maza na mm nikichukua nafasi ya dingi kuna ubaya?" hapo lazima mama alicheka kidogo akamwambia subiri nae maza nae kuna siku kapiga chimpumu akawa na mihamu akaamua nae kuchombweza akala mzigo
 
Nashukuru kwa kuni acknowledge tedo... Mambo tu ya nje ya jf yalibana ila sasa nipo hapa. Mzima wewe? Unasemaje kuhusu hii topic juu maana mie nimeishiwa maneno.

Baada ya kufungua tu hivi na kuona hiyo picha nilitaka kukimbia ghafla bila hata kusoma kilichomo ndani, kwa bahati nzuri ndo nikakumbana na wewe uso kwa uso..

Speechless yan ...hii ni laana.
 
Hivi Zimbabwe nako kuna wangoni?

Ndiyo, Zim kuna wangoni. Kama unaijua history ya wangoni wa TZ, utakumbuka kuwa ni wazawa wa Chaka the Zulu. Yaani walitokea Sauzi kwa kupitia Zim, Zambia, Malawi hadi TZ.

Kwa hiyo ile story ya Zim na hii ya Tz kuna uhusiano
 
Back
Top Bottom