Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Inasikitisha sanaa

Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita

Jana anarudi anakuta watu wanejaa nyumbani huku mwili wa mwanae ukiwa chini umefunikwa

Wazazi mbadilike hawa watoto wanaumia wakiona upuuzi wenu

Msihisi wote wanavumilia wengine hawana moyoo wa kuendelea kuangalia mnayoyafanya

Kupiigana sio dilii
 
Mtoto mdogo hvy anatoa wapi akili hizo za kusema ajinyonge kisa wazazi wanapigana.?
 
Back
Top Bottom