Hili ni tukio la ajabu na kweli lililofanyika huko Congo miaka kadhaa iliyopita.
Ilikuwa hivi: Mtoto mdogo aliumwa na nyoka mwenye sumu kali, akakata pumzi. Hakupumua kwa takriban masaa matatu. Kisayansi mtu asipopumua kwa muda huo mrefu, anapaswa kufa au kupata uharibifu mkubwa wa ubongo.
Mama yake alimbeba mtoto huyo hadi kwa Mhubiri wa Injili. Mhubiri akamuombea kwa Jina la Yesu. Ghafla mtoto akaanza kupumua tena. Hakupata madhara yoyote ya ubongo. Alikua mzima hadi akawa Mchungaji baadaye!
Hakika “Yesu Kristo ni yeye yule jana, na leo, na hata milele.” (Waebrania 13:8). Yesu alifanya miujiza mingi zamani, na hata sasa bado anaendelea kufanya kwa wote waaminio.
Source: Christianity Today
Hahaa. Anatafuta mke, au wewe ndio unamtafutia?Kuna kajamaa kana kanisa naona kama mtaendana kanatafuta mke
Acha ujingaHili ni tukio la ajabu na kweli lililofanyika huko Congo miaka kadhaa iliyopita.
Ilikuwa hivi: Mtoto mdogo aliumwa na nyoka mwenye sumu kali, akakata pumzi. Hakupumua kwa takriban masaa matatu. Kisayansi mtu asipopumua kwa muda huo mrefu, anapaswa kufa au kupata uharibifu mkubwa wa ubongo.
Mama yake alimbeba mtoto huyo hadi kwa Mhubiri wa Injili. Mhubiri akamuombea kwa Jina la Yesu. Ghafla mtoto akaanza kupumua tena. Hakupata madhara yoyote ya ubongo. Alikua mzima hadi akawa Mchungaji baadaye!
Hakika “Yesu Kristo ni yeye yule jana, na leo, na hata milele.” (Waebrania 13:8). Yesu alifanya miujiza mingi zamani, na hata sasa bado anaendelea kufanya kwa wote waaminio.
Source: Christianity Today
Unatawapata wajinga na wasio fikiri..Usiiite chai habari ya kweli. Badala yake tulia, usome kwa makini mistari inayoambatana na habari hiyo, ujifunze nguvu na uwezo wa Mungu wa kufufua wafu. Si umekiri mwenyewe kwamba JF ni kama darasa kwako? Keep learning