Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwahiyo huyo hayati wako kumbe nae amechukuliwa msukule?Huyo dogo kafufuka baada ya miaka 5 ,na Hayati anaweza kufufuka 2026 na ataongoza miaka yake 4 iliyokuwa imebakia .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huyo hayati wako kumbe nae amechukuliwa msukule?Huyo dogo kafufuka baada ya miaka 5 ,na Hayati anaweza kufufuka 2026 na ataongoza miaka yake 4 iliyokuwa imebakia .
Una ujinga mwingi...🚮🚮🚮Hilo kwangu sio swali la msingi, ni moja ya swali la kipumbavu tu, Kwasababu ambiguity ni tukio na sio mtoto. Kwa maana hiyo hata wangekuja na hoja ya paka au umbwa ningewabishia tu
Ndio wamekurupuka na hata nyinyi mnao support mnaingia kwenye kundi hilo, na wengi mnajadili mambo kihisia badala ya facts.
Kwanza wewe ume affirm vipi kua hilo tukio ni la kweli?
Namchukia mchawi.polisi wamehusika kwa sababu ni walizni wa raia na mali zao, polisi wasipohusika watu wanaweza kuuana na pia kufukua kaburi hata kama ni la mwanao ni process ambayo kisheria lazima ipitie polisi waombe kibari cha mahakama