That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Utasikia kuwa alikuwa hajui kusoma wala kuandika.Inabidi wampe karatasi aandike kilichomsibu mana kuongea hawezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia kuwa alikuwa hajui kusoma wala kuandika.Inabidi wampe karatasi aandike kilichomsibu mana kuongea hawezi
Pumzi isikudanganye hyoMATAGA fanyeni mpango Bwana Chato afufuke pia[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2047632
Usikejeli sana mkuuMATAGA fanyeni mpango Bwana Chato afufuke pia😁😁😁View attachment 2047632
Wengi wanaosemaga hivyo wengi in either wachawi wenyewe au waliologeka mpaka hawajitambuianaesema uchawi hakuna ni vile hayajamkuta tu, bahati yake
Naomba unieleweshe;
-alizikwa akiwa na miaka 11?
-na baada ya miaka 5 amefufuka.Je,muonekano(umri)ni uleule wa miaka 11 au amebadilika na kuwa wa miaka 16?
Akili yangu nyembamba imekwama kuelewa hapo.
Utopolo mtupu, hakuna misukule wala bibi yake misukule.Huu ni utoto nwingine nimekuuliza swali asisemwe mtoto mwingine au kinyume chake ?
Hilo tukio msingi wake ni mtoto na si kinyume chake sababu au mfano wa paka haingii katika jinsi ya tukio hilo. Hapa umedhihirisha ujinga wako juu ya kadhia hii.
Ndiyo maana unakiri kwamba ungebisha sababu huna elimu juu ya jambo hili. Mbwa au Paka hachukuliwi msukule kijana. Ndiyo maana amekuwa ni binadamu tena mtoto na si mnyama ambaye ni paka au mbwa.
Mpaka muda huu umeonyesha udhaifu katika kuhoji na huna facts juu ya hili mpaka unakufa kwa sababu hujui hakika ya haya mambo.
Yaani ulichokihoji hapa ni sawa umkute mbwa juu ya mti. Na kuacha kujiuliza amepandishwa na na ukahoji amepandaje,hii inaonyesha humjui mbwa na hakika yake,ndicho ulichokifanya katika tukio hili.
Nimethibitisha tokana na mtiririko wa habari ulivyo jitosheleza na unaenda sawia na uhalisia.
Sasa si uthibitishe hilo. Mbona una ruka ruka ?
Hizo ni habari za kutunga na zinasambaa kwa kasi sababu wengi wanapenda hadithi za uchawi. Hakuna mtu anaweza kufa kisha akafufuka, ni matangopori.Dogo elimu ya mzungu amekuharibu kichwa unakuaga na ubishi hadi una kera, hii ni habari ya kwanza kusikia kuhusu mtu kufariki mazishi yakafanyika baadae akaja kuonekana ?
Mungu asaidie jiwe afufuke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wanaosemaga hivyo wengi in either wachawi wenyewe au waliologeka mpaka hawajitambui
Pumzi isikudanganye hyo
Mnanilinganisha mimi na Magufuli?Yaani mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?Usikejeli sana mkuu
Unaweza ukafa au ukawa hai lakini kitandani
Unaweza usife.Mnanilinganisha mimi na Magufuli?Yaani mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?
Sasa mnalinganisha mimi na mwizi wa kura?Mnalinganisha kifo changu na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!
Mnanilinganisha kifo changu mimi na muuaji ambae alikuwa anaua watu na kuzipakia maiti za watu wasiokua na hatia kwenye viroba na kwenda kuzitupa baharini?
Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
Naona lopolopo at tour bestMnanilinganisha mimi na Magufuli?Yaani mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?
Sasa mnanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!
Mnalinganisha kifo changu mimi na muuaji ambae alikuwa anaua watu na kuzipakia maiti za watu wasiokua na hatia kwenye viroba na kwenda kuzitupa baharini?
Mnaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnanilinganisha mimi na Magufuli?Yaani mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?
Sasa mnanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!
Mnalinganisha kifo changu mimi na muuaji ambae alikuwa anaua watu na kuzipakia maiti za watu wasiokua na hatia kwenye viroba na kwenda kuzitupa baharini?
Mnaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
😂😂😂😂 waja hawataki mambo yawe makuu,Utasikia kuwa alikuwa hajui kusoma wala kuandika.