Hilo kwangu sio swali la msingi, ni moja ya swali la kipumbavu tu, Kwasababu ambiguity ni tukio na sio mtoto. Kwa maana hiyo hata wangekuja na hoja ya paka au umbwa ningewabishia tu
Ndio wamekurupuka na hata nyinyi mnao support mnaingia kwenye kundi hilo, na wengi mnajadili mambo kihisia badala ya facts.
Kwanza wewe ume affirm vipi kua hilo tukio ni la kweli?