Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

Naomba unieleweshe;
-alizikwa akiwa na miaka 11?
-na baada ya miaka 5 amefufuka.Je,muonekano(umri)ni uleule wa miaka 11 au amebadilika na kuwa wa miaka 16?
Akili yangu nyembamba imekwama kuelewa hapo.
Kwakifupi nikwamba unapokufa time linakuwa stoped to you. Ye kafufuka na umri uleule ila kakuta dunia ishasepa kwa miaka mitano mbele
 
MATAGA fanyeni mpango Bwana Chato afufuke pia😁😁😁
SzS.jpg
 
Back
Top Bottom