Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hilo kwangu sio swali la msingi, ni moja ya swali la kipumbavu tu, Kwasababu ambiguity ni tukio na sio mtoto. Kwa maana hiyo hata wangekuja na hoja ya paka au umbwa ningewabishia tuSasa kwanini hukujiuliza maswali ya msingi ya kwamba kwanini akusudiwe mtoto huyo huyo na si mwingine ?
Au unafikiri hao wamekurupuka kama ulivyokurupuka wewe kwenye kuhoji ?
Weka mfano wa hizo records kisha nikuulize maswali.
Unajua Uchawi ni nini kwa maana ? Au unakataa jambo usilo kuwa na elimu nalo ? Huu ni uhayawani.
Unaweza kuthibitisha unachokidai ?
Hili halibatilishi uwepo wa tukio husika. Jikite kulikosoa tukio hili na utuonyeshe kutowezekana kwake au kinyume chake.
Ndio wamekurupuka na hata nyinyi mnao support mnaingia kwenye kundi hilo, na wengi mnajadili mambo kihisia badala ya facts.
Kwanza wewe ume affirm vipi kua hilo tukio ni la kweli?