ninaye mwanangu mmoja ali escape Gamboshi, ila yeye kwa bahati alirudi mzima anaweza kuongea,humu JF kama kuna watu waliishi mkoa wa mara hasa Tarime miaka ya 2000 mwanzoni watakuja kuthibitisha comment yangu hii maana tukio hilo lilitoka hadi kwenye magazeti
yule jamaa alienda shule kama mtoto wa kawaiada tu ila wakati wa mapumziko akaokota pesa ghafla ikatokea fisi na mtu kapanda (aliona yeye tu) ile fisi ikambeba mpaka gamboshi (hela ile ilitegwa na wachawi eneo la shule)
alipofika gamboshi alikuta watu wapo uchi,wanawake wanapelekwa kufanya mapenzi na misukule ya kiume,ikipatikana ujauzito mtoto anazaliwa then anachomwa kama nyama choma then mafuta ya mtoto yanauzwa kwa wafanyabiashara matajiri
nitaandika vizuri hii comment kesho,sasa ni saa saba kasoro usiku