Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Unamkumbuka yule mtoto aliyeibiwa juzi kati hapa kule Pwani? Sasa habari njema ni kwamba Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro chini ya kamanda wake Alex Mkama wamethibitisha kupatikana kwa mtoto huyo, inadaiwa kwmaba mganga mmoja wa kienyeji tayari anashikiliwa kwa kuhusika na wizi wa huyo mtoto. Amekutwa Shambani akiwa ametelekezwa. Kongole kwa Polisi Morogoro.