Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

Serikali iendelee kufanya Jitihada ya kukomesha hii tabia.
 
Wazazi wameuliwa.. Mali zimeporwa mtoto kapelekwa kwa mganga wa kienyeji.. Hii dunia ina mengi Sana na ni magumu sana pia
Wazazi hawakufa ili walitiwa kwenye mashimo ya choo kila mmoja la kwake.inaonekana maahimo hayo hayakuwa na maji
 
Wazazi hawakufa ili walitiwa kwenye mashimo ya choo kila mmoja la kwake.inaonekana maahimo hayo hayakuwa na maji
Taarifa za awali walisema wameuliwa.. Nimefarijika kusikia hili💗💪🏿🙏🏿🙏🏿
 
Wazazi wameuliwa.. Mali zimeporwa mtoto kapelekwa kwa mganga wa kienyeji.. Hii dunia ina mengi Sana na ni magumu sana pia
Na pia Tar 15 Kibaha kwa Mfipa ,wakora wameingia wakaiba mali za ndani na gari IST ,wakawatupa Mke na mume kwenye mashimo ya maji taka tofauti ,mtoto wao mdogo wa miezi 7 wameondoka naye.

Hizi mali zinatuondolea UTU.

Jeshi la polisi kwa jinsi technologie ilivyokuwa nawashauri wapanye forensic kwenye hiyo nyumba wapate alama za vidole ,warequest namba za simu zilizokuwepo maeneo hayo around saa 11 mpaka saa mbili asubuhi........Kisha hizo namba ambazo zikaja kusoma maeneo tofauti na kibaha wazifanyie analysis.

Hao wahuni mkishawapata dawa yao ni kutaja MTANDAO wao wote kisha Mnawapa HAKI YAO ya kikatiba kama walivyofanya CONGO.
 
Back
Top Bottom